Kuna mdogo wangu anasoma hiyo shule kanipigia sim akidai shule imefungwa na wameambiwa wataitwa bila mda maalum kutajwa na sababu ikiwa ni mvutano wa kidini kati ya wakristu na waislam! Kwa wale wenye taarifa zaidi tujulishen maana ni hatari kwa Taifa letu!
Sipo eneo la tukio lakini wakorofi nishawajuwa
Walianza kwenye kampeni zao za siasa, wakaweka mizizi ya udini sasa wameelekeza nguvu madarasani na wanafunzi wamefundishika sasa taabu...Kizazi cha Tanzania kinaelekea wapi?
Tunakwenda wapi?
Haya mambo ya udini hayaisaidii
Samahani mkuu hivi hakuna wanaompa malalamiko yakamfikia? Iwe kwa njia ya wawakilishi au kitu kama hicho?Mimi namlaumu rais wa nchi hii tu! Yeye ndiye muasisi wa mambo haya. Watu wa dini yake wanafanya fujo kila siku na hatuoni wakikamatwa. Wengine wanafundisha watoto kufanya fujo lakini hawchukuliwi hatua yoyote ile. Wanaachwa kwa amri ya ikulu. Marais waliopita kulikuwa hakuna ujinga huu kabisa!!