blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.Watanzania wengi washio ughaibuni yaani ulaya na marekani na hasa wale ambao hawajuri Tanzania kwa muda mrefu,,bado wanaushamba ule wa kizamani wakihisi kua vitu wanavyojua wao au kuanavyo wao eti watu waliooko huku Tanzania hawavifahau,,huo ni ulimbukeni wa hali ya juu,,kumbe hawajui kua Tanzania siku hizi watu wamepiga hatua na wanaishi maisha bora sana kuliko wao,,utakuta mtu kasoma kule nje anafanya kazi katika migahawa ya chakula na anakaa katika kachumba kamoja kanachomnyonya kulipia bills,wakati bongo watu wanaishi katika majumba ya kifahari na ardhi ya kutosha full kujiachia,,wengine wamebaki huko kwa kukosa nauli za kuja hata kutembea bongo,,eti utamsikia mtu anatoa sababu eti anaogopa kuombwa hela akija bongo?? NANI AKUOMBE HELA ZAKO ZA MAWAZO UNAZOZIPATA KWA KUKOSA USINGIZI,,HUKU BONGO WATU WANAHELA NA WANAISHI MAISHA ZAIDI YENU HUKO UGAIBUNI,,HACHENI MAWAZO FINYU MKO NYUMA SANA KAMA HAMJUI..
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.
TARUDI NA MENGINE

pole sana kwa kukugusa,,kabebe box,,kalinde usiku na asubuhi kaoshe vyombo mcdonalds,,mnaona aibu kuja hata bongo kwani mpo nyuma sana..
Ulaya ni Ulaya tu... Wacha kutokwa mapovu!NANI AKUOMBE HELA ZAKO ZA MAWAZO UNAZOZIPATA KWA KUKOSA USINGIZI,,HUKU BONGO WATU WANAHELA NA WANAISHI MAISHA ZAIDI YENU HUKO UGAIBUNI,,HACHENI MAWAZO FINYU MKO NYUMA SANA KAMA HAMJUI..
si ndio hapo MKWE RE anawakoga tu akisikia joto limezidi anakula pipa huyoooo mamtoni kupata baridi kidogo.wao kazi yao kuimba nambari wani nambari wani ccm baada ya kuvimbishwa pilaukama kweli bongo pangekuwa pouwa ki hivyo kikwete asingekuwa anapiga maruti kila siku kukimbilia huko, yaani mtu anayechota maji kwa kijiko kwenye kiji mfereji anamtambia aliyeko kisimani,aliyeko chini ya mti naye anamringia aliyeko juu ya mti kuwa huku chini ndiyo kuna matunda safi huku akiendelea kumtegemea aliyeko juu amdondoshee mengine,kaazi kweli kweli.
We fw ala saaaaana tena saaana maisha gani mazuri ya kibongo unayosema walioko ughaibuni Hawajaishi.maisha unayosema ww mazuri hapo watu waliishi kabla hawajaenda ulaya.
Pole sana kwa kuja mjini juzi.maisha mazuri hapo bila usalama?
Maleria kibao ukienda hospital doctor kagoma.
ukiandikiwa dawa unauziwa feki pharmacy
Huku bado tindikali inakungoja.
vibaka na majambazi kila kona.
kazini ukicheka na demu wa bosi kidogo tu kesho huna kazi.
Wanga nao wanajipanga wakukabe usiku au wakulimishe kisa umenunua gari jipya unawasumbua mtaani.
kijini kwenu shangazizako nao wanapanga wakutoe kafara kisa kwanini una maendeleo.
mkeo nae kutwa kwA waganga akufanye chuma ulete.
huku vijana mtaani wanamgegeda we ukiwa unamenyeka job.
kijiji kizima kinataka kuhamia kwako kisa umepandishwa cheo.
hayo ni baadhi tu yamefanya tumekimbia hapo.WE unaridhiiiika na maisha ya kula kitimoto na ugali
Wenzio tunaangalia kuishi muda mrefu na kupata vyote kwa pamoja.
TARUDI NA MENGINE
si ndio hapo MKWE RE anawakoga tu akisikia joto limezidi anakula pipa huyoooo mamtoni kupata baridi kidogo.wao kazi yao kuimba nambari wani nambari wani ccm baada ya kuvimbishwa pilau
miprado mnanunua kwa hela za wizi.risk ya kufukuzwa kazi au kampuni kufilisika kwa ajili ya wizi wenu nani anataka.
ndo maana nasema wote mnaodai mnakula maisha bongo mmeingia juzi huo wizi wenzenu tumefanya saaaana hapo kabla,na kubadilisha vituo vya kazi karibia vyoote bongo.
kalaghabaho
Porini tuUnaishi nchi gani ?
Porini tu