Umbea haufai

Umbea haufai

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
UMBEA NOMA!
bint kakaa kwenye daladala
anaandika SMS, huku kashika
kibegi chake. Mzee m1 pembeni
akawa anakomaa kuangalia bint
anaandika nn! Bint kastukia,
akaamua kuandika hiv:
"Yule nyoka utakua hujamtoa meno
ya sumu, anasumbua kwenye begi
anataka kutoka, cjui nfanyeje na
alivyo mkubwa itakuaje?"
Mzee kuona vile akasogea pembeni;
bint nae hakumchelewesha,
akamrushia begi!
Mzee kakurupuka, kelele; Nyokaa
nakufaaa!
Bint: ukome kusoma sms za watu.
jioni njema
 
Am tired of being accused of stealing my own only love,,, soooo tired! Soooo tired!!!! Tired to b limited how to handle my only soul mates!!! Am so tired of leaving my love to be in hands which not sure if r 100 perc. Secured or not........ Am sorry but jus kno am the only person in true love with u! I love every bad and gud of u! I enjoy seeing things going wrong waiting to hear u saying sorryyy kama siku ileeee mweengee na morroco!!! Nakupenda I want u to be protected! Naumia kuwa mbali nawe! I don know if I cn b cured!
 
naona kwenye sms umeona haitoshi umeamua kujimwaya jf,swali la nyongeza mhe. supika anaitwa nani vileee huyo lover wako?
 
Ha ha ha ha haaaa
Bujibuji huo sio umbea bana, hiyo inaitwa kupiga chabo..................LOL
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaaa
Bujibuji huo sio umbea bana, hiyo inaitwa kupiga chabo..................LOL

165847_477218292305783_2019132187_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom