Umbali wa Mikoa Ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umbali wa Mikoa Ya Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzozo wa Mizozo, Oct 27, 2008.

 1. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Nawasalimu. Nimekwama na natumaini ntapata msaada hapa Jamvini. Nilikuwa nahitaji kufahamu umbali wa mikoa ya Tanzania [Katika Kilomita au Maili] kutoka Dar es Salaam.

  Nimejaribu katika source zote nimeshindwa fanikiwa, natumaini ntaweza saidiwa katika hili jambo.

  Mzz.
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Kama ni umbali kati ya makao makuu ya mikoa na Makambako (kwa barabara) hii yaweza kusaidia?
   

  Attached Files:

 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dar - Moro 196km
  Dar - Dodoma 450km
  Dar - Singida 720km
  Dar - Iringa 640km (app)
  Dar - Mbeya 800kms (app)
  Dar - Songea 920kms

  But if you can check with SUMATRA utapata za uhakika zaidi...Hizo mimi ni kwa sehemu hizo ambazo niliwahi kujaribu kupima nilipokuwa nikisafiri kuelekea sehemu hizo lakini kuna wakati nilijikuta naanzia kupima kutokea mbezi, sometimes ubungo kwa kadri nilivyokuwa nakumbuka.
   
 4. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli. Makambako na kwengineko Mkuu. Nashukuru.
   
 5. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna hata website moja ya serikali ama agency ambazo zinashughulika na mambo ya barabara ambayo ina takwcimu hizo?

  Mbona ni tatizo kuu hili. Mkuu Roya Roy PDF ulioattach imegoma kufunguka kabisa...

  Heshima mbele.
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160

  Umedownload hilo file la hapo juu? Lipo kwenye pdf. Nadhani kuna mikoa makao makuu ya mikoa yote.
   
 7. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Roy,

  Now nimefanikiwa kuifungua. Nashukuru sana wote mlionipa msaada natumaini ntafanikiwa katika hili nifanyalo...

  Mod... Please unaweza itoa hii post ili tuendelee kukata issue nzito zaidi hapa Jamvini.

  Heshima mbele.
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu MM heshma,
  Nimejaribu kucheki web ya TanRoads wana jedwali lioneshalo urefu wa barabara kati ya makao makuu ya mikoa....data zao zaweza kuwa ni za uhakika kuliko hizi za ramani ya BP zlizokupa awali.
  Link hii hapa http://www.sido.co.tz/tanroads/road%20distances.pdf
   
 9. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Roy,

  You have gone an extra mile.... Thanks kwa kila kitu.

  Ubarikiwe.
   
 10. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mizozo, tembelea ofisi ya TANROAD iliyoko karibu, utapata unachohitaji bila shida yoyote.
   
 11. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Dar - Moshi 620kms (appr)
  Dar - Arusha 680 kms (appr)
  Reference -Mabango yanaooyesha umbali wa safari yaliyopo Moshi na Arusha mjini
   
 12. M

  Mama JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Kwamba Moshi - Arusha ni only 60 km?! I doubt.
   
 13. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Moshi YMCA round about to Arusha Mianzini 73Km (apprimately) na sijui huyo bwana kapata wapi hizo figure
   
 14. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Roya Roy

  ukiangalia kwenye hiyo source unayosema ni reliable
  DAR TABORA ina sema 10,000KM is it by mistake ama ni PC yangu imesoma vibaya
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
 16. Kipunguni

  Kipunguni Senior Member

  #16
  Oct 27, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160

  I didn't note that...bu should be a typo.. must be 1,000km!
  On realibity...was comparative..... i was trying to compare data from BP map (1997) and of TanRoads (must be recent).
  Thanx for the note Bow Bow.
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ukipima kwa kufuata barabara ilivyopinda na kona zake utapata vipimo vinavyoshahabiana na ukweli. Kwa mfano nimepima kutoka DSM hadi Kibaha nikapata distance ya km 34.557 vipimo halisi ni km. 35

  Angalia ramani niliyoambatanisha.
   
 19. D

  DCASH94 New Member

  #19
  Dec 2, 2013
  Joined: Nov 27, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg
  Ni matumaini yangu kwa kufuata ROAD DISTENCE utakuwa umetatua tatizo lako hata mimi lilinisumbua sana lkn nilikuja kupata chat kama hii uliyotumiwa na huyu Muungwana.
   
 20. TinyMonster

  TinyMonster JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2013
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hakuna haja ya kuitoa itawasaidia na wengine maana sio wewe peke yako, mie mwenyewe nilikuwa sifahamu.
   
Loading...