Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 511
- 574
Dar to Mwanza ni km 1128 kwa gari la private utatumia masaa 14 na dk 36
Mkuu naona wadau hapo juu wamejaribu tu kuguess, ukweli ni 1154 km...hii ni kwa mujibu wa jedwali la umbali toka Dar kwenda mikoani ambalo hutolewa na SUMATRA
mkuu we unajua kweli kuendesha gari?...masaa yote hayo bado upo njiani tu, huo si wastani wa 80km/hr!!!
kumbe mwendo kasi ndo ujuaji wa kuendesha hicho chombo?duh!
kilometa zote hizi udrive peke yako? Angalia usiwamwage watu......
Dar to Mwanza ni km 1128 kwa gari la private utatumia masaa 14 na dk 36
Sasa we na wewe, nway mradi umechangia..
Kiburudisho (nikitaja hli jina namuwaza mwanamke) umetaja umbali bila source, mbaya zaidi umetaja na muda bila kufikiria japo kidogo kuhusu spidi ya uendeshaji unaoujua wewe na uendeshaji wa mwenye thread.. Huwezi taja umbali na muda bila kutaja spidi..
Zaidi ya hapo hakuna hata mmoja aliyesema umbali kuanzia sehemu gani kwa Dar (zero km) je Kibamba, kigamboni, Pugu, au Masaki.. Na je zero km ya mwanza ni Buswelu, Pasiansi, Igoma au Kamanga.. So tuwe smart kidogo katika kujibu hoja.. Bora aliyetaja source ya Sumatra twaweza sema wanajua zero km za miji..
Mbumbumbu Intelligent
Mkuu Bumpkin naona wewe ni mkali sana kwa vielelezo, kwa kweli hakuna anayekufikia.
dar kwenda misunwi,magu au ukerewe? Sema eneo husika naona wengi wanatoa dar to Nyegezi stand
Dar to Mwanza ni km 1128 kwa gari la private utatumia masaa 14 na dk 36
Ndugu wanajamvi kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka dar kwenda mwanza kwa njia ya barabara anifahamishe,maana nataka nifahamu ili niweze kutenga bajeti nzuri ya mafuta kwani sijawahi kwenda mwanza.asanten
kilometa zote hizi udrive peke yako? Angalia usiwamwage watu......