Umatra na tbs vipi

Kimboko

Member
Nov 16, 2010
56
6
Wah. salaam, hivi inakuwaje SUMATRA NA TBS walitangaza kazi muda mrefu sana na hadi sasa hawajaita watu kwenye usahili, au ilikuwa chnga la macho watu wao wameshaanza kazi!!!!!!! Tuambizane wajemeni
 
Wah. salaam, hivi inakuwaje SUMATRA NA TBS walitangaza kazi muda mrefu sana na hadi sasa hawajaita watu kwenye usahili, au ilikuwa chnga la macho watu wao wameshaanza kazi!!!!!!! Tuambizane wajemeni

umejuaje kama hawajaita watu?
 
Nitasubiri hadi lina ndugu, njaa haisubiri au unasubiri ukiwa umefunga si itanikuta nimekufa njaa
 
tbs waliita watu wao,,,wengine tuliitwa na secretary cku ya interview tukarudishwa tunaulizwa tuliletwa na nani?
 
Ukiona hukuitwa ujue sifa zako ni ndogo/dhaifu (you have low/poor qualifications)
 
Ajira nyingi siku hizi za kujuana,kama sio mtoto wa mjomba au rafiki mara chache kupata bila kushikwa mkono!
 
Back
Top Bottom