chipolopolo 2 JF-Expert Member Nov 10, 2014 3,292 1,841 May 1, 2017 #4 Hiyo tv ya zamani sana , umenikumbusha mbali sana
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,140 12,129 May 1, 2017 #5 Chipompo said: Click to expand... We ni kiazi
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,239 6,098 May 1, 2017 #6 acha bangi ww hio ni Kilimanjaro
Chipompo JF-Expert Member Jan 9, 2017 616 411 May 1, 2017 Thread starter #7 chipolopolo 2 said: Hiyo tv ya zamani sana , umenikumbusha mbali sana Click to expand... Hahahahaaa nilikua najaribu kuonyesha zilipendwa-kele yetu ni dhahabu!nooma
chipolopolo 2 said: Hiyo tv ya zamani sana , umenikumbusha mbali sana Click to expand... Hahahahaaa nilikua najaribu kuonyesha zilipendwa-kele yetu ni dhahabu!nooma
Chipompo JF-Expert Member Jan 9, 2017 616 411 May 1, 2017 Thread starter #9 mjumbe wa bwana said: acha bangi ww hio ni Kilimanjaro Click to expand... Najua yotehiyo nihasira ya mei mosi kukosa nyongezaa-hahahahaaaa mei day njema
mjumbe wa bwana said: acha bangi ww hio ni Kilimanjaro Click to expand... Najua yotehiyo nihasira ya mei mosi kukosa nyongezaa-hahahahaaaa mei day njema
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 1, 2017 #10 Mkuu kupost picha zenye quality nzuri huwezi?
Eck fulani JF-Expert Member Oct 14, 2014 457 594 May 1, 2017 #11 Chipompo said: Click to expand... Hahaha waje kusema photo kiosk!
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,862 May 1, 2017 #12 Joseverest said: Mkuu kupost picha zenye quality nzuri huwezi? Click to expand... Na kaPHILIPS kake ka kuangalia kwa jicho moja CRT hio quality nzuri unatoka wapi??? Tumshukuru tu hivo hivo kwa kutuhabarisha. Mkuu mtoa mada shukran kwa taarifa ila huko ni Moshi(Kilimanjaro) sio Arusha
Joseverest said: Mkuu kupost picha zenye quality nzuri huwezi? Click to expand... Na kaPHILIPS kake ka kuangalia kwa jicho moja CRT hio quality nzuri unatoka wapi??? Tumshukuru tu hivo hivo kwa kutuhabarisha. Mkuu mtoa mada shukran kwa taarifa ila huko ni Moshi(Kilimanjaro) sio Arusha