Wapigania UHURU afrika walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote.Bora ya wakoloniKiukweli Mimi kuitwa nchi maskini ni kututukana watanzania wote maana Sasa tumepata uhuru wa kufanya nini Kama tumeshindwa kubadili maisha ya watu wetu na Sasa nizaidi ya miaka 60 bado tunaitwa nchi maskini
Watoto wengi ni kujitakia shida mwenyewe katika maisha haya ya sasaWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
Ngoja Wal jamaa wanaopenda ugali waje.Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Tunajivunia upole na uoga wa watz ila sio total amani japo ipoWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
You are brain washed.......urban poverty ya ulaya ni hatari kuliko poverty ya Africa licha ya kua na watoto wawili au mmoja, hamna relation ya aina yoyote kati ya utajili na idadi ya wstoto, mawazo ni western philosophy full of bias to Africa.Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Ukute waliotangulia wangeishi HIVYO unavyodai si ajabu tusingeona huu ushauri WAKO kwani yawezekana hata Baba yako asingezaliwaWa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
UMASIKINI wa NCHI hii unatokana na Serikali yaWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
OiWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.