Wapo wachache mno ndani ya ccm ambao bado wanaangalika, lakini wanashindwa kuonekana kwakuwa wamefunikwa na kundi kubwa la wezi ndani ya chama chao
Lakini sasa mambo yamebadilika, wale wachache baada ya kutishwa na kugandamizwa muda mrefu sasa uoga umewatoka wanaona wazi sasa kuwa chama kimekufa na nchi inaangamia hawana hofu tena wanaongea kwa uwazi tena kwa kupaza sauti.
Wengi kati ya hawa wachache wasafi ndani ya ccm watakuwa bega kwa bega na upinzani kuhakikisha nchi inakombolewa toka katika makucha ya wanyang'anyi wasio na huruma aibu wala soni was chama chawala