Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

Amani ya bwana iwe nanyi watu wa jukwaa hili kuna vitu nilikua navisikiaga zaman lakin sikuweza kuamini leo ndo nimeamini

Bora uwe masikin wa fedha na nguo lakin siyo kuwa masikini wa hakili alichokifanya manji na mchungaji gwajima ni umasikin wa hakili wamefanya mtihan lakin hawajafata maelekezo ndo maana wamekoseshwa na hawajasahishwa kabisa

Wakae wakijua hii ni awamu ya tano kwahiyo wasitake kujifanya kwamba wako juu ya sheria
Hakuna aliye juu ya sheria kwa awamu hii ya tano mi nawapa pole sana pole yao

Na kuna uwezekano hata kesho hawata achiwa kwa sababu wamefanya zalau sana sana ya kumupangia mkuu wa mkoa mda wa kuonana naye wakati naye ana ratiba zake

Mtu kavimbeya anakuja na jopo la mawakili utakazan anaakuja kwenye kesi hii sio kesi haya ni mahojiano tu

Mpaka wanyoke ccm mbele kwa mbele

Wewe ni Mtanzania kweli? hakili ni nini? mubaya au mbaya?
 
kwani tofauti ya serikali ya 5 na zilizopita ni ipi? kwanini mnapenda kuisema sana kuwa hii ni awamu ya 5.mbna tunafahamu alafu haina tofauti na awamu zingne??
 
Mtoa mada ni MHUTU bila shaka yoyote. Hana weledi kabisa na lugha ya kiswahili. Akili anaita 'hakili', mbaya kwake ni 'mubaya' na mada anaita 'maada'.....ndugu zake ni wale waliokamatwa jana pale Kigoma kwa kuishi hapa nchini isivyo halali.
 
Changia maada achana na hayo mawazo koko
 
Amani ya bwana iwe nanyi watu wa jukwaa hili kuna vitu nilikua navisikiaga zaman lakin sikuweza kuamini leo ndo nimeamini

Bora uwe masikin wa fedha na nguo lakin siyo kuwa masikini wa hakili alichokifanya manji na mchungaji gwajima ni umasikin wa hakili wamefanya mtihan lakin hawajafata maelekezo ndo maana wamekoseshwa na hawajasahishwa kabisa

Wakae wakijua hii ni awamu ya tano kwahiyo wasitake kujifanya kwamba wako juu ya sheria
Hakuna aliye juu ya sheria kwa awamu hii ya tano mi nawapa pole sana pole yao

Na kuna uwezekano hata kesho hawata achiwa kwa sababu wamefanya zalau sana sana ya kumupangia mkuu wa mkoa mda wa kuonana naye wakati naye ana ratiba zake

Mtu kavimbeya anakuja na jopo la mawakili utakazan anaakuja kwenye kesi hii sio kesi haya ni mahojiano tu

Mpaka wanyoke ccm mbele kwa mbele

Uzi mzuri lakini kuna makosa kidogo :

Hakili =Akili

manji =Manji

Zalau=Dharau

Wanyoke=Wanyooke

Na kumalizia zaidi uwe unakumbuka kumalizia (i) kwenye maneno yako .Asante sana
 
Amani ya bwana iwe nanyi watu wa jukwaa hili kuna vitu nilikua navisikiaga zaman lakin sikuweza kuamini leo ndo nimeamini

Bora uwe masikin wa fedha na nguo lakin siyo kuwa masikini wa hakili alichokifanya manji na mchungaji gwajima ni umasikin wa hakili wamefanya mtihan lakin hawajafata maelekezo ndo maana wamekoseshwa na hawajasahishwa kabisa

Wakae wakijua hii ni awamu ya tano kwahiyo wasitake kujifanya kwamba wako juu ya sheria
Hakuna aliye juu ya sheria kwa awamu hii ya tano mi nawapa pole sana pole yao

Na kuna uwezekano hata kesho hawata achiwa kwa sababu wamefanya zalau sana sana ya kumupangia mkuu wa mkoa mda wa kuonana naye wakati naye ana ratiba zake

Mtu kavimbeya anakuja na jopo la mawakili utakazan anaakuja kwenye kesi hii sio kesi haya ni mahojiano tu

Mpaka wanyoke ccm mbele kwa mbele
Nadhani mambo ya watanzania waachie watanzania wenyewe. Kwa lugha hiyo wewe si mtanzania.
 
Wewe mtoa mada mwenyewe huna akili,hujui hata kuandika kiswahili,bado unalafudhi na fikra za kisukuma,ulipoanza tu kichwa chako cha habari umeonyesha kuwa ni msukuma.
Mambo ya kutuandikia (ga,ga,hakili),peleka kwenu huko.
 
Back
Top Bottom