shizukan
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 1,158
- 564
Hivi FF Nyerere alikufanya kitu gani? Kama alivunja ndoa ya wazazi wako basi naamini ilikuwa ni kwa manufaa ya umma. Mimi sioni uhusiano wa sisi kutokuwa na utamaduni wa kujitegemea na Nyerere. Nafikiri siasa ya ujamaa na kujitegemea hukuielewa vyema. Na kuhusu akili, nafikiri hata sasa huna na ndio maana miaka kadhaa baada ya utawala wa Nyerere kuondoka bado umeweka masaburi chini ukimlaumu badala ya kuwajibika.
Naomba unitumie kamfano kadogo tu kanakoonesha kuwa Nyerere alikuwa OMBA-OMBA kama Mh.Dokta. Manake nahisi una jambo binafsi na Nyerere
Naomba unitumie kamfano kadogo tu kanakoonesha kuwa Nyerere alikuwa OMBA-OMBA kama Mh.Dokta. Manake nahisi una jambo binafsi na Nyerere