Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

Mjinga ni yule aliyekuwa anaamini Lowassa atamletea kula, Maendeleo yako yataletwa na ww mwenyewe hao viongozi kazi yao ni kukuboreshea miundombinu ya ww kutafuta pesa,
kwa hiyo ccm kwa miaka zaidi ya hamsini wameboresha miundo mbinu sio? kwa hiyo ndo tuwape wandelee?

Attachments

  • mgonjwa.jpg
    8.3 KB · Views: 115
  • Shida+ya+maji.jpg
    34.8 KB · Views: 111
  • maji.jpg
    11.4 KB · Views: 113
  • Wanafunzi.jpg
    57.9 KB · Views: 124
  • shule.jpg
    27.7 KB · Views: 227

Mistar mitatu ya kwanza ndo kilichobakia kwenu kwa sasa, ule upuuz wenu mliokuwa mkiopost humu ndani naona taratibu unaanza kupungua.... Mstari wa mwisho umejionyesha ww ni Lofa na pumbavu kwa sababu huwezi kumsemea mtu usiyemjua, huna lolote unalolijua kuhusu mm
 
Tupe majibu basi tuone uelewa wako ....
 
Hayo matokeo yanapinduliwa2 katka vituo anashinda mwingine kisha anatangazwa mwingine
 
kaka unashangaa hayo tu!!, nipo karibu na BULYANHULU

ni mgodi unaofahamika kama " WORLD CLASS DEPOSIT" Ktk ulimwengu wa makampuni ya UCHimbaji wa madini, Huwezi kuamini kuwa mgodi huu umekuwa kwenye uzailishaji kwa zaidi ya miaka 18 sasa...
waajiriwa wageni(expats) kutoka mataifa mbalimbali huja na kutoka na kujichumia mishahara ya kufuru, achilia mbali uzalishaji wa dhahabu yenyewe.

jambo la kushangaza, ukitoka zaidi ya km1 kutoka mgodini kuna Kitongoji cha KAKOLA ambacho hakina Reflection kabisa ya utajiri ambao Mungu ameuweka Hapo... watu wanaishi maisha Choka mbaya ile mbaya.. CHini ya MBUNGE wao MAIGE... hakuna maji, vyakula wala barabara za kueleweka, watu wanaishi kwenye vinyumba vya SLOpe..

kutoka Hapo mpka ukute barabara ya lami unahitaji kutembea kilometer zaidi ya 80..

pamoja na matatizo yoote hayo jamaa wamejitoa ufahamu, na wameirudisha CCM KWA KISHINDO.. kuanzia kura za udiwani mpaka uraisi...

potelea mbali hao wengine waliojitoa ufahamu na kuwezesha BAO la mkono!!

Hii ndio tanzania ndugu yangu!!!!

"maisha bora kwa kila mtanzania" na sasa " HAPA KAZI TU".

Kuna mgombea urais huko marekani anaitwa Donald Trump kuna maneno kaongea kuhusu sisi waafrika,naamini sisi sio wazima kiakili
 
Speak to them man!
Halafu ajabu kama alivyosema mwanzisha uzo, wanawachagua ni hohehahe ambao kazi yao kugongea na kulalamika kuwa maisha magumu, huduma mbovu nk.
Hakika waitaisoma namba, ni kukata vimisaada tu.
 
Mbona watanikoma sasa, nilikuwa ni mtu mwenye huruma ila sasa ni mwendo wa HAPA KAZI TU .................. MSAADA WAONE WAFADHIRI.
 
Mwenge umewapumbaza,hawajui walitendalo.Usiwanyime msaada wape.Kwani kuchaa akiwa na njaa akikuomba chakula humpi.Watanzania ni watu wasiojitambua kabisa,treat them as you would treat a lunatic.
 
Kuna mgombea urais huko marekani anaitwa Donald Trump kuna maneno kaongea kuhusu sisi waafrika,naamini sisi sio wazima kiakili
 
Unaelewa maana ya Demokrasia?. Unacholazimisha wewe ni Udikteta, eti kwavile unawasaidia watu basi wachague chama ukipendacho. Hiyo ni RUSHWA. Msaada wako usiwe sababu ya kuwashurutisha watu.

Swala sio kuwachagulia wanatakiwa kujitambua iweje wewe ufanye uamuzi wa kujiumiza halafu upewe msaada wakati umepewa nafasi ya kufanya uamuzi wa kukuletea maendeleo amakweli hii ndio Tanzania wanayoishangaa wengine
 
Inaonesha Mungu amekujalia sana...
 
Swala sio kuwachagulia wanatakiwa kujitambua iweje wewe ufanye uamuzi wa kujiumiza halafu upewe msaada wakati umepewa nafasi ya kufanya uamuzi wa kukuletea maendeleo amakweli hii ndio Tanzania wanayoishangaa wengine

ivi wewe unafikiri una akili nyingi sana kuliko watu wote tanzania.
 
Unaelewa maana ya Demokrasia?. Unacholazimisha wewe ni Udikteta, eti kwavile unawasaidia watu basi wachague chama ukipendacho. Hiyo ni RUSHWA. Msaada wako usiwe sababu ya kuwashurutisha watu.

Mkuu, kwakweli mi nakuona kama unatumia akili ya chama chako kutoa fikra hapa.

Mimi cna chama ila sina imani wala kutaka chama cha CCM kiendelee na madaraka kwa sababu hizi:-

-ingawa kimetoa mafanikio ila hayana uhalisia na maisha ya sasa.
-kudorora kwa uchumi na kupanda kwa maisha ingawa zamani sio sasa.
-kuongezeka kwa umimi na kupungua kwa huruma kwa wananchi kutoka serekalini kwao.
-majigambo ya chama tawala bila ya uhalisia wa mafanikio kulingana na majigambo yao.
-mchi kuwa ya chama kimoja wakati wapo watanzania wengine wana vyama vyao.
-matatizo ni mengi kuliko faida yenyewe.

Mimi naona ifike siku hiki chama kikae pembeni na watanzania wengine nao watawale. Ingawa kinapendwa lakni wengio wao wamechoshwa na hiki chama.
 
Unaelewa maana ya Demokrasia?. Unacholazimisha wewe ni Udikteta, eti kwavile unawasaidia watu basi wachague chama ukipendacho. Hiyo ni RUSHWA. Msaada wako usiwe sababu ya kuwashurutisha watu.

Mkuu, kwakweli mi nakuona kama unatumia akili ya chama chako kutoa fikra hapa.

Mimi cna chama ila sina imani wala kutaka chama cha CCM kiendelee na madaraka kwa sababu hizi:-

-ingawa kimetoa mafanikio ila hayana uhalisia na maisha ya sasa.
-kudorora kwa uchumi na kupanda kwa maisha ingawa zamani sio sasa.
-kuongezeka kwa umimi na kupungua kwa huruma kwa wananchi kutoka serekalini kwao.
-majigambo ya chama tawala bila ya uhalisia wa mafanikio kulingana na majigambo yao.
-mchi kuwa ya chama kimoja wakati wapo watanzania wengine wana vyama vyao.
-matatizo ni mengi kuliko faida yenyewe.

Mimi naona ifike siku hiki chama kikae pembeni na watanzania wengine nao watawale. Ingawa kinapendwa lakni wengio wao wamechoshwa na hiki chama, ingekuwa vyema tukashirikiana kukiondoa ili tuone na wengine nao watafanya nini, ingekuwa adabu tosha kwa wengine na wange kaa sawa.
 
Mjinga ni yule aliyekuwa anaamini Lowassa atamletea kula, Maendeleo yako yataletwa na ww mwenyewe hao viongozi kazi yao ni kukuboreshea miundombinu ya ww kutafuta pesa,

Ni kweli mkuu, ila kwanini walalamike wao tuu?, ivi hao wanao lalamika ni wanchi gani?,mbon tunaambiawa faida lkwa wote, kwani ikitokea kipindi wakuu wa vyama vyao wakapewa na wao wakatawala kutakuwa na tatizo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…