menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 672
Wakuu,
Heri ya mwaka mpya!
Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA. Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.
Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.
Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!
wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa. Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.
Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni africa american!
Tuliopo mbali tutaitambua Marekani kwa yale tu wanayoruhusu tuyafahamu kupitia vyombo vyao vya propaganda, wasioruhusu hatuwezi kuyajua mpaka tuwe huko.
Homeless wengi hawataki kufanya kazi na wengi ni drug addict sasa kwa Amerika mfumo wa capitalism usipofanya kazi huwezi kuwa na kitu chochote lazima ufanye kazi.Wakuu,
Heri ya mwaka mpya!
Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA. Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.
Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.
Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!
wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa. Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.
Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni africa american!
Wakuu,
Heri ya mwaka mpya!
Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA. Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.
Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.
Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!
wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa. Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.
Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni africa american!
America sio nchi ya kujilipua,ukijilipua lazima uishi kimashaka mashaka na kuwa homeless maana hutapata huduma kihalali maana lazima uchunguzwe uli ingiaje Marekani.kuna watu ukiwaambia nchi za watu zipo vipi unaambiwa tuna roho mbaya. nyie wa kujiripua mtaishia kulala barabarani huko sio poa .
Kama Africa kuna nafuu kwa nini kila siku Waafrika wanapambana kuzamia huko?
Kwa nini balozi za Marekani zinaelemewa misururu ya maombi ya visa kutoka kwa Waafrika??
Wengi ni drugs!Wakuu,
Heri ya mwaka mpya!
Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA.
Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.
Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.
Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!
wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa.
Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.
Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni Africa American!
πππ akijibu nitagUnaposema Africa Americans unamaanisha ni watu weusi au?
Umemjibu vizuri sana!Homeless wengi hawataki kufanya kazi na wengi ni drug addict sasa kwa Amerika mfumo wa capitalism usipofanya kazi huwezi kuwa na kitu chochote lazima ufanye kazi.
Maana kupata vitu kama nyumba,gari lazima wacheki credit yako.sasa kama mtu hafanyi kazi lazima aishie kuwa Homeless tu.

Umesoma andishi langu vizuri?? Au umesoma haraka haraka? Nimesema waafrica wahamiaji kutoka Africa wengi wao wamefanikiwa sana hapa marekani. Kuna fursa nyingi za kufanya mtu kufanikiwa. Unafuu wa africa ni kuwa maskini wa africa atleast hata ana shamba huko kijijini huku maskini ni maskini haswa yaani hata pa kulala hana.
Unaposema Africa Americans unamaanisha ni watu weusi au?