Umasikini na maendeleo- tafsiri sahihi

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Wanajamvi na greath thinkers wote

  • Kipimo cha umasikini wa mtanzania ni nini?
  • Kipimo cha utajiri wa mtanzania nini ?
  • Je kuna Uhusiano wa maendeleo ya kuchumi na utajiri au umaskini wa watanzania?
  • Je ni kweli Tanzani na nchi inayoendelea au tumepewa neno tamu la kututia moya tusishtuke kwua tunanyonywa na mabepari?
Napenda tupate na tujadiliane tafsiri sahihi ya umasikini na maendeleo. Swali imenijia hoja hii baada ya kuhisi maendeleo ya kichumi tanzania ni kama yanazidi kusababisha umasikini kwa watanzania wengi. kwa uchambuzi wenu

Nawasilisha. kwa mjadala
 
Back
Top Bottom