lakini ni bora umuachie zimshinde mwenyewe kullko kumuacha mikono mitupu..kumwachia mtoto mali nako siyo kuzuri maana unamlemaza.
lakini ni bora umuachie zimshinde mwenyewe kullko kumuacha mikono mitupu..kumwachia mtoto mali nako siyo kuzuri maana unamlemaza.
Kuchukua hawa mayatima ,duniani tumejaa ubinafsi kuna watoto wanapata tabu badala tumalize umaskini kwa waliopo ,tunazaa wapya ili kuendelea umaskini ule ule.Dawa ni kutozaa kabisa
Hayo ndio maneno yao ya kujifariji.😀😂😂Kwa hiyo watoto ni mbadala wa hela
Tatizo kila mtu anataka wakwake hakuna anayetaka kulea watoto wa mwingine,Kuchukua hawa mayatima ,duniani tumejaa ubinafsi kuna watoto wanapata tabu badala tumalize umaskini kwa waliopo ,tunazaa wapya ili kuendelea umaskini ule ule.
kabisa yaaani mtu unaleta watoto 6 wanajifariji na ule msemo wa tajiri na mali zake maskini na wanae😀😀Na kama hujaweza kuuepuka fanya kila unaloweza usilete duniani watu wengine wa kuja kuteseka
Mtu maskini akizaa mtoto, anaongeza maskini mwingine duniani.