Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 568
- 12
Je Umoja wa Nchi za Afrika lazima?
Bara letu hili la Afrika ambalo linajulikana Ulimwenguni kama jeusi, limejaa UMASIKINI MAGONJWA na VITA na wakati huhuo ni bara ambalo limejaa Rasilimali- mapori,wanyama,utamaduni,madini na kadha wa kadha...na bado tuna hayo yote.
Walakini?
Tanzania ina bahati ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi barani humu lakini bado ni MASIKINI ina MAGONJWA na imeshapigana VITA...
1. Je Kujiunga na Umoja wa Kiafrika utamkomboa Mtanzania kujikinga na hayo hapo juu?
Au itachangia hayo hapo juu?
2. Ni lipi katika haya (UMASIKINI MAGONJWA na VITA)litatufanya tusiungane na Umoja huo
Kwa mtazamo wangu hii ni lazima...tujadiliane