Umaridadi wa nywele!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Waziri wa habari vijana,utamaduni na michezo mganga(Dkt) Fenella Mukangara!huyu mama na hizi nywele amependeza kweli natamani wanawake wote waachane na kuweka nywele bandia au madawa kwenye nywele zao ili kuonekana wanavutia kumbe wanaharibu kabisa!


Capture1.PNG
 
Tatizo ni jinsi ya ku-maintain hizo nywele jamani! Tukiwa praimare tulikuwa tunasuka jumapili na jumatano. Sasa na u-busy huu wa maisha, mweeh! Na wengine hatujajaaliwa nywele sasa tukimbilie wapi zaidi ya kwa mchina?
 
au kama vipi umaweka kichwani kitu kama ile anaweka mama Makinda...
 
Back
Top Bottom