Umakini ni mhimu sana katika maamuzi!

Umakini ni mhimu sana katika maamuzi!

NDOSHI

New Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Ndugu wasomaji,
Napenda kutoa mchango wa mawazo hasa kwa wale wenye mapenzi mema na nchi yetu. Ambaye hajawahi kuumia katika maisha yake ukweli ni kwamba akiona aliyeumia anaweza kumcheka na kumnennea vibaya. Fikiria kabla ya kutenda. Tunapoendea uchaguzi Mkuu ndugu watanzania wenzangu ''Kuchagua ni kupanga" tumia haki yako kikatiba vizuri.
 
Wananunuliwa kwa Kanga, Kofia na T Shirt.
 
Back
Top Bottom