Umaarufu usikufanye ukebehi mtu mteule wa Mungu!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani.

Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi.
Hilo haliwezekani kamwe.

Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au alipoasa kuwa ya Kaiza mpe Kaiza na ya Mungu mpe Mungu ...bado alisingiziwa na kutafutiwa kosa na akasulubiwa kwa kelele za wayahudi.

Pamoja na yote yalimkuta bado dola na wamadola wale wameendelea kuishi pengine kwa hulka zile zile.
sisi wafuasi wake bado tunaamini haikuwa haki na tunaamini atarejea tena.

Pamoja na imani yetu kwa sasa tumeendelea kuheshimu mamlaka zilizopo huku tukiwa na maadhimisho ya kila mwaka kukataa kile walichomtenda.tunaamini ipo siku ya hukumu na alichondewa kitalipwa .

Japo pia tunaendelea kuishi kwa maombi tukiwasihi vitukuu wa mamlaka zilizokuwepo toka enzi hizo kuendelea kutanda haki.

Kwa ufupi niseme kuwa hata mamlaka ziizokuwepo,zilizopo na zitakazokuja kamwe hazitaruhusu kutovugwa au kudhihakiwa kwani nazo zinaamini yupo aliyewapa mamlaka hayo na kamwe hatowaacha waharibikiwe.
hizi ni nguvu kubwa shindani na kuna ugumu kuzipatanisha.

Ili kuimarisha amani na ustawi basi ni vyema nguvu hizi zikaendelea kustahiana na kuvumiliana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Utawala wa huyu bibi utaangamia kama vile utawala wa nebukaduleza alivuoangamizwa
 
Mara kwa mara nimekuwa nikiuliza humu JF, nani aliishawahi kupambana na Mamlaka na akashinda sijawahi kupata jibu.
 
Wana Jeiefu ni wazuri wa kupambana kwa kubonyeza button na usipokuwa makini utatishika kweli kweli, lakini unapokuja kwenye actual fighting basi hutamkuta mwana wa jeiefu hata mmoja.
 
Kama Gwajima nae ni mteule wa Mungu hata mimi ni mteule pia.
 
sijawahi kuomba maombi mabaya, ila this time nitaomba, na Mungu atajibu. hata wana wa israel walimlilia sana Mungu walipotoka mikononi mwa farao, kama hamjui enzi hizo hakuna aliyekuwa anatisha kama farao, lakin Mungu aliwaambia waendelee mbele, Mungu atawapigania na wao watanyamaza kimya. tunajua yaliyotokea. egypt hadi leo hii ilitakiwa iwe taifa kubwa kuliko marekani, na warumi na yeyote ila ni nchi ambayo bado inapokea misaada kama wengine tu.
 
Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani.

Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi.
Hilo haliwezekani kamwe.

Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au alipoasa kuwa ya Kaiza mpe Kaiza na ya Mungu mpe Mungu ...bado alisingiziwa na kutafutiwa kosa na akasulubiwa kwa kelele za wayahudi.

Pamoja na yote yalimkuta bado dola na wamadola wale wameendelea kuishi pengine kwa hulka zile zile.
sisi wafuasi wake bado tunaamini haikuwa haki na tunaamini atarejea tena.

Pamoja na imani yetu kwa sasa tumeendelea kuheshimu mamlaka zilizopo huku tukiwa na maadhimisho ya kila mwaka kukataa kile walichomtenda.tunaamini ipo siku ya hukumu na alichondewa kitalipwa .

Japo pia tunaendelea kuishi kwa maombi tukiwasihi vitukuu wa mamlaka zilizokuwepo toka enzi hizo kuendelea kutanda haki.

Kwa ufupi niseme kuwa hata mamlaka ziizokuwepo,zilizopo na zitakazokuja kamwe hazitaruhusu kutovugwa au kudhihakiwa kwani nazo zinaamini yupo aliyewapa mamlaka hayo na kamwe hatowaacha waharibikiwe.
hizi ni nguvu kubwa shindani na kuna ugumu kuzipatanisha.

Ili kuimarisha amani na ustawi basi ni vyema nguvu hizi zikaendelea kustahiana na kuvumiliana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Zaburi 1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
 
Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani.

Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi.
Hilo haliwezekani kamwe.

Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au alipoasa kuwa ya Kaiza mpe Kaiza na ya Mungu mpe Mungu ...bado alisingiziwa na kutafutiwa kosa na akasulubiwa kwa kelele za wayahudi.

Pamoja na yote yalimkuta bado dola na wamadola wale wameendelea kuishi pengine kwa hulka zile zile.
sisi wafuasi wake bado tunaamini haikuwa haki na tunaamini atarejea tena.

Pamoja na imani yetu kwa sasa tumeendelea kuheshimu mamlaka zilizopo huku tukiwa na maadhimisho ya kila mwaka kukataa kile walichomtenda.tunaamini ipo siku ya hukumu na alichondewa kitalipwa .

Japo pia tunaendelea kuishi kwa maombi tukiwasihi vitukuu wa mamlaka zilizokuwepo toka enzi hizo kuendelea kutanda haki.

Kwa ufupi niseme kuwa hata mamlaka ziizokuwepo,zilizopo na zitakazokuja kamwe hazitaruhusu kutovugwa au kudhihakiwa kwani nazo zinaamini yupo aliyewapa mamlaka hayo na kamwe hatowaacha waharibikiwe.
hizi ni nguvu kubwa shindani na kuna ugumu kuzipatanisha.

Ili kuimarisha amani na ustawi basi ni vyema nguvu hizi zikaendelea kustahiana na kuvumiliana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wasiojulikana
 
Mara kwa mara nimekuwa nikiuliza humu JF, nani aliishawahi kupambana na Mamlaka na akashinda sijawahi kupata jibu.
Hujui kitu wewe mtoto..kwanza una harufu ya msalani kaoge uondoe hiyo harufu..kuna mamlaka ngp unazozijua wewe, subiri utaona maneno mengi ya nini..!
 
Nilikuwa Course moja na John Heche pale SAUT EDUCHE 2006/2009. Je, mimi ni Mtoto? Kama huamini muulize kuhusu Safari aliyefukuzwa chuo kwa kosa la kumuamini John Heche akawatukana Masista pale Main Campus!
 
Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani.

Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi.
Hilo haliwezekani kamwe.

Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au alipoasa kuwa ya Kaiza mpe Kaiza na ya Mungu mpe Mungu ...bado alisingiziwa na kutafutiwa kosa na akasulubiwa kwa kelele za wayahudi.

Pamoja na yote yalimkuta bado dola na wamadola wale wameendelea kuishi pengine kwa hulka zile zile.
sisi wafuasi wake bado tunaamini haikuwa haki na tunaamini atarejea tena.

Pamoja na imani yetu kwa sasa tumeendelea kuheshimu mamlaka zilizopo huku tukiwa na maadhimisho ya kila mwaka kukataa kile walichomtenda.tunaamini ipo siku ya hukumu na alichondewa kitalipwa .

Japo pia tunaendelea kuishi kwa maombi tukiwasihi vitukuu wa mamlaka zilizokuwepo toka enzi hizo kuendelea kutanda haki.

Kwa ufupi niseme kuwa hata mamlaka ziizokuwepo,zilizopo na zitakazokuja kamwe hazitaruhusu kutovugwa au kudhihakiwa kwani nazo zinaamini yupo aliyewapa mamlaka hayo na kamwe hatowaacha waharibikiwe.
hizi ni nguvu kubwa shindani na kuna ugumu kuzipatanisha.

Ili kuimarisha amani na ustawi basi ni vyema nguvu hizi zikaendelea kustahiana na kuvumiliana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwa taarifa yako... Kinachoendelea leo Tanzania ni vita vile vile walivyopigana Yesu, Manabii, Mitume na Waumini wa dini mbalimbali.
Ukweli una tabia zake... Haujifichi! Unachukua muda, ni mchungu, na unaeleweka kwa urahisi kwa kila lugha!
ccm imepokwa na wajanja wachache!
SSH hana uwezo tena kuongoza nchi
 
Nilikuwa Course moja na John Heche pale SAUT EDUCHE 2006/2009. Je, mimi ni Mtoto? Kama huamini muulize kuhusu Safari aliyefukuzwa chuo kwa kosa la kumuamini John Heche akawatukana Masista pale Main Campus!
Mussa vs Farao, au ile ni stori tu?
 
Back
Top Bottom