Umaarufu (sifa) chanzo cha kifo cha Dj Arafat

Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
8,261
Points
2,000
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
8,261 2,000
Yuko mmoja hapa mtaani kwangu,simuombei mabaya ila dah jamaa anajiamini sana,hizo show kama alizokuwa nafanya huyo marehemu hapo juu huwa anazifanya sana...
DJ Arafat
screenshot_20190813-123503_1565688937758-jpeg.1180192
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
45,538
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
45,538 2,000
Rest In Protons.

"It's I-ya Jeremiah, conceived through the blunt fire
On Kawasakis could wheelie up on one tire"

AZ- "The Format"
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
45,538
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
45,538 2,000
Tupe shule apa
AZ ni rapper maarufu wa New York City, hapo alikuwa anajitapa jinsi anavyoweza kurusha pikipiki kwa tairi moja kama marehemu.

Ni michezo fulani ya hatari lakini hawa ma celebrity wa muziki wengine wanapenda kuifanya.

Nilivyosikia habari za huu msiba, nikakumbuka hii mistari.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
116,229
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
116,229 2,000
Jana ilikuwa siku ngumu sana kwa tasnia ya mziki Afrika hususani nchini Congo na Ivory Cost. Hii ni baada ya mwanamziki na DJ maarufu sana kijana DJ Arafat kuaga dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki akiwa anaendesha (anaichezea) kwenye barabara kuu za mjini Ivory Cost.

Katika video iliyonaswa na CCTV DJ Arafat anaonekana akiiandaa pikipiki yake huku wafuasi wake wakimshangilia akiwa hana hata kofia ngumu maarufu helmet na vifaa vingine ambavyo huwa naona waendesha pikipiki kubwa za mashindano wakivaa. Baadae anaonekana akiendesha kwa madaha (akiendesha kwa kutumia tairi moja yaani mbele imeinuka!! Baadae anaweka miguu juu ya sehemu ya kukalia na mwisho anaonekana akiiparamia gari na kufa palepale.

Kwa haraka utaona kabisa umaarufu wake hakujali sheria za barabarani wala polisi wa usalama barabarani. Huyu ndie alikuwa DJ special wa wanamziki wa Congo waendapo kupiga show Ivory Cost ukizingatia wanaongea lugha moja (French) na kafanya colabo za kutosha.

R.I.P bro

View attachment 1179854View attachment 1179855View attachment 1179856View attachment 1179858
Video tafadhali ama link yake
 
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Messages
504
Points
500
ccm mtoto wao

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2018
504 500
Ujinà wote huo kwasababu ya kumkomesha mwanamke au. Maajabu
Mzigo mpya umeingia Kutoka *Congo* Maarufu kwa jina la *vumbi la Kongo*
ambao unaitwa *Kasongo mundende* walio wengi wanajua kwa jina la *Kizizi cha mkuyati*
Bei ni efu 20000.tu.

Njoo imbox au nipigie 0759900549/0654233452

*Zifuatazo ni baadhi ya faida zake*
DAWA YA KUPAKA INAKUPA MAJIBU MUDA MCHACHE BAADA YA KUIPAKA
FAIDA ZA KASONGO

KUCHELEWA KUFIKA KILELENI MAPEMA√
KUUFANYA UUME LEGE KUWA NGANGALI√

KUMUDU TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU√

HURUDISHA HESHIMA YA NDOA√
UNAOUWEZO WA KUTAFUTA GOLI LA KWANZA KWA MUDA WA DAKIKA 40 UKIMALUZA TU NGOMA INASIMAMA TENA..LAKINI PIA
KULETA HAMU YA KURUDIA
BILA KUCHOKA√

Hii ni dawa kiboko yao
Pia ninayo dawa ya kukuza uume kwa ulefu na upana.

*DAWA NI YA ASILIHAINA MADHARA KWA MATUMIZI.*
 
EMMYGUY

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Messages
8,471
Points
2,000
EMMYGUY

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2015
8,471 2,000
Unaweza kuiweka hapa hiyo video mkuu!?
 

Forum statistics

Threads 1,326,419
Members 509,499
Posts 32,221,354
Top