Umaarufu bila skendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umaarufu bila skendo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by YoungAge.org, Aug 11, 2012.

 1. YoungAge.org

  YoungAge.org Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona vijana wengi wastaa wa bongo wanaandamwa na kashfa na maskendo kila kukicha. Wengine uzinzi, wengine utapeli na wengine walifikia kuchomana visu. Nini kinapelekea hali hiyo? Kwani haiwezekani kuwa staa bila kuwa na skendo?
   
Loading...