hiyo sio dawa kuna mashetan wanaokula nguruwe pia dawa ni kuwa na Yesu tu
Kongosho iyo ya saikolojia lkn ipo ya kulogana laivu kwa nyama nimeona kwa macho yangu mtu anawekewa na anasema kabisa akila leo kesho utamuona. chezeya wanawake wa mjini wewe..................... mimi sitak kabisa kuwaskia hawa watuni ujinga kwa kweli.
True story.
Nakumbuka nikiwa fomu two, kuna mtu aliniambia bora nimkubali kwa hiari, sababu ameshapata mganga atakayeniloga.
Nikajisemea, nitasubiri hadi uniloge, tena huyo mganga alikuwa anaogopewa sana maana alikuwa anatumia eti majini, mtaa wa 2 tu toka nilipokuwa naishi.
The guy was labda 10+yrs older than me, na alikuwa anajaribu kucheza na saikolojia na kutengeneza hofu ndani yangu.
hahahha ........jamani babu DC nilijua utabisha ila ni kweli
iko hivi kipande cha nyama kinachoekwa ukeni sio kikubwa kama unavyodhani pia huwa kinatolea uchi unaoshwa kisha kinarudishwa na usiku kama mume ataomba unyumba anaambiwa naiako kwenye period so anavaa na pedi kabisa
hahahha ........jamani babu DC nilijua utabisha ila ni kweli
iko hivi kipande cha nyama kinachoekwa ukeni sio kikubwa kama unavyodhani pia huwa kinatolea uchi unaoshwa kisha kinarudishwa na usiku kama mume ataomba unyumba anaambiwa naiako kwenye period so anavaa na pedi kabisa
Chauro umesahau kwamba hawa wao wako kibiashara zaid? wengine wakilia siku hizi wanaume hawahongi basi kuna ambao wao wakionekana tu mtu anavutiwa nae na kila asemacho anapatiwa. hawana uchungu na maisha ya wengine bali mali tusikatai gfsonwin kusali ni muhimu sana je unataka kusema nyumba zote ndogo huwa zinahusisha ulonzi,nia na madhumuni ni kipi hasa najaribu kufikiria mazingira yote uliyoweka hapo juu hayana mvuto hata kidogo kwa binadamu mwenye akili timamu kuyafanya au kwao maana ya mapenzi huwa ni tofauti?
labda tuwaite wachumia mali maana sioni hata moja linalovutia kwenye ulonzi!
babu DC hivi wewe uliwah kuwa mtundu kidogo?Mie nimeomba waniletee hata sasa hivi nile hicho kipande cha nyama....ila itabidi nitameze strong antibiotics nisijepambana na E.coli au bacteria wengine wa hatari..
Nilitembelea Tanga miaka ya nyuma na kila mtu alinambia kwamba sitarudi salama. Nilikaa kwa zaidi ya miaka 5 na kurudi salama. Mie na Bibi bado tunadunda...!!
Huu ni uzushi tu wa kuwajenga watu hofu!!
Babu DC!!
Kongosho iyo ya saikolojia lkn ipo ya kulogana laivu kwa nyama nimeona kwa macho yangu mtu anawekewa na anasema kabisa akila leo kesho utamuona. chezeya wanawake wa mjini wewe..................... mimi sitak kabisa kuwaskia hawa watu
Chauro umesahau kwamba hawa wao wako kibiashara zaid? wengine wakilia siku hizi wanaume hawahongi basi kuna ambao wao wakionekana tu mtu anavutiwa nae na kila asemacho anapatiwa. hawana uchungu na maisha ya wengine bali mali tu
babu DC hivi wewe uliwah kuwa mtundu kidogo?
ujue kama watu hawana uelewa na jambo, ndipo mitafaruku kama hii hutokea.
Miaka ya mid 1990's lilizuka suala la 'dudu mtu' kwenye mboga za majani hasa kabechi.
Wapo waliolihusisha na ulozi, wanyama walilia sana maana kafara zilitolewa mno.
Kuja gundulika ni 'lava' wa kipepeo
au suala la maalbino kuuawa kwa ajili ya madini na uvuvi wa samaki ni kweli? Je makampuni makubwa ya uchimbaji yanaua albino wangapi kwa kupata kiasi kikubwa hivyo cha madini??
Kwa nini ni local miners tu ndio wanajihuisha na albinom at the same time wala uzalishaji wao si mkubwa hivyo?
Utundu gani huo unaongelea??
Au nikupe contacts za Bibi akupe ushuhuda?
Babu DC!!
sikiliza mdogo wangu hawa wanaofanya hivi wana interest zao binafsi na kwako hawaoni shida hata kidogo. sikufich mwl mwenzetu aliwah kumfix mumewe kwa kitambaa cha shughuli sasa siku moja mumewe akaoteshwa tu ndotoni inaelekea alikuwa ameaga vyema kwao basi mke akiwa job mume akaanza kupekua chumba chini akakuta kile kikopo chenye kitambaa akakiweka mezani. ke kurud akamuuliza mama akakataa basi mume akasema kama hakikuhusu nbasi nakichoma. sasa kumbe sharti kile hakitakiwi kuchomwa ukikichoma u mume anakuwa ******* sasa mkewe akaogopa akasema ukweli.
ndo mume kusema kumbe ndo maana nko hivi yaani alikuwa na kimada akienda kwake haismami akirud ndani inasmama kawaida. basi ulikuwa ugomvi hadi ukaja ofcn.
bora niwe msikilizaje tu hapa.
Maana sielewi kitu kabisa na siamini hata moja.
Sioni kama ni ajabu mtu mnayeishi naye nyumba moja kuona kitu ulichoficha ndani ya nyumba hiyo hiyo.
Ni coincidance tu.
Anyway, ngoja nipishe wachangiaji wengine labda.
hivi babu DC unamin ulonzi kwenye siasa?
hivi babu DC unamin ulonzi kwenye siasa?