Ulokole wa facebook

Aise kumbe ndo maana nkisoma hata profile za maademu wangu wa zamani ni mistari ya baibo tu.
 
When you don't show up as who you are, people fall in love with who you are not. Then when they find out who you are, that's when they leave.
 
wakati niko mtoto kila kukiwa na mkutano naenda wakiitwa wanaotaka kuokoka nipo daaa eti naokoka kila mkutano ukiwepo ......... nikikumbuka najihurumia sana by ze wei nauogopa ulokole jaman mmmhhh
 
Binadamu ni wanafiki sana hasa hao wanaojiita Walokole.....

wamekukosea nini wana wa mungu? si kweli kwamba ulokole ni mbaya lahasha ni mzuri sana tena sana. na pia kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo. hata kanisani wachawi na wazinzi pia wamo na dini bado zipo. kimsingi uokovu ni wamtu sio wa watu. ikiwa umempokea yesu na kufuata yale neno la mungu lisemalo basi wewe umeokoka tena watenda vema.na ikiwa hutendi sawa na neno la mungu basi wewe ujiesabu ni kupoteza muda2 na wokovu au ulokole utabaki pale pale kwani alie uleta uokovu au ulokole ni yesu mwenyewe. kimsingi na kushauri kama hujampokea yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako ni fursa ya kuokoka ni vema ukawakosoa ukiwa ndani ya uokovu ili ujue ukweli.je wokovu ukoje?
 
#but thatsnoneofmybusiness
salamu ziwaendee ma madam woooteeee waliokula dunia na wanaendela kula dunia ila facebook na mitandaoni ni full ulokole. ishi maisha yako usiwe mtumwa wa maisha ambayo huyaishi

Wokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over
 
Mbona umejichanganya hapo kwenye bold na uko kulikobaki...

Mambo ya jiwe la gizani haya...


Wokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over
 
Teh Facebook kuna walokole?Hawafui dafu kwa walokole wa jamiiforum, he he he hawakaribii hata punje....


Hahahahaa wa humu sina hamu nao nawakumbuka kwenye Uzi mmoja hivi ukiwa critisize wanakuambia laana itakufuata wewe na kizazi chako! Ukiwauliza laana?? How? And why? Wanakujibu we subiri utaona! Halafu wana mipasho hao utadhani wanaimba taarabu mashauzi classic! teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…