I HAVE THE SAME CASE AS YOURS MY FRIENDVipi uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa Rita kuna watu wameshapata confirmation? mana naona kama system yao inasumbua
Nipo dsmI HAVE THE SAME CASE AS YOURS MY FRIEND
UNAPATIKANA WAPI WEWE
Okay asanteWamesharekebisha nimetuma cheti Leo imekubali.ila Fanya kama una jisajili upya kwa taarifa zilezile za awali
Basi zitakuwepo kulembn natuma tn wananiambia taarifa zako zishatumwa xa inakuwaj
Wamesharekebisha nimetuma cheti Leo imekubali.ila Fanya kama una jisajili upya kwa taarifa zilezile za awali
[/QUOT
How long do they take to bring back the confirmation results?