Ulizo:

64-bit

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
298
147
Vipi uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa Rita kuna watu wameshapata confirmation? mana naona kama system yao inasumbua
 
Wamesharekebisha nimetuma cheti Leo imekubali.ila Fanya kama una jisajili upya kwa taarifa zilezile za awali
 
Back
Top Bottom