Uliza chochote kuhusu kabila la wakurya ujibiwe

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau,

Karibuni sana kwa maswali yeyote juu ya kabila la wakurya linalopatikana mkoani Mara na hususani Wilayani Tarime.

Kwa mfano waweza uliza:
Kwanini wakurya ni mwema wababe?
Kwanini wakurya wanadharau sana watu wasiofanyiwa tohara?
 
Eti unatahiriwa kwa kisu mmepanga msitari na unapewa mtoto wa Kike ukipona endapo hukutoa machozi mda wa kisu kukata bila ganzi?
Mimi Byabato wa Katerero Bukoba..
 
Kwa nini mnapenda kutoa watu makoromelo, kitu kidogo utasikia ntakutoa koromelo
 
Wadau
Karibuni Sana kwa maswali yeyote juu ya kabila la Wakurya Linalopatikana Mkoani Mara na hususani Wilayani Tarime.
Kwa mfano waweza uliza:
Kwanini Wakurya Ni Mwema Wababe?
Kwanini Wakurya Wanadharau Sana Watu Wasiofanyiwa tohara?
Kwanini kwa sasa mnatabia za uzandiki na unafiki wakati nyie ni watu wa misimamo thabiti kwa mnachoamini (kuunga juhudi za serikali hata kama mambo ni ya hovyo)?

Kwanini mmekosa misimamo thabiti mmekuwa watu legelege?
 
Kwa hiyo Nyerere asinge wadhulumu wakenya hiyo wilaya ya Tarime nyie saivi mngekuwa Kenya si ndio?
 
Wadau
Karibuni Sana kwa maswali yeyote juu ya kabila la Wakurya Linalopatikana Mkoani Mara na hususani Wilayani Tarime.
Kwa mfano waweza uliza:
Kwanini Wakurya Ni Mwema Wababe?
Kwanini Wakurya Wanadharau Sana Watu Wasiofanyiwa tohara?
Kwanini Wakurya Wa Zamani Ni Tofauti Na Wa Sasa.

Hata Wakitukanwa Pumbavu Mbele Ya Kamera Wanajifanya Kama Hawajisikia, Wanajichekesha Chekesha Ili Maisha Yaendelee
 
Kwanini waliitwa wakurya nasi wasuvuzi kwa njinsi mlivyo jilani wasukuma!?

Nomenclature ilihamaje nyie muitwe wakurya wakati jilani zenu wasukuma?
 
**Sasa hivi hawezi fanya hivyo tena hiyo ilikuwa zamani**
Mwenye ma-bus ya Zakaria alikua anachapaga wakurya(wanaume) fimbo kama watoto wadogo na cha kumfanya hakuna.
 
Nyie mlio huko Dasalama kwa nini mnatutia aibu kwa kufuga na kuuza mayai badala ya kufuga ng'ombe Musani .....
 
Wadau,

Karibuni sana kwa maswali yeyote juu ya kabila la wakurya linalopatikana mkoani Mara na hususani Wilayani Tarime.

Kwa mfano waweza uliza:
Kwanini wakurya ni mwema wababe?
Kwanini wakurya wanadharau sana watu wasiofanyiwa tohara?
Kwanini wakurya mnawanyanyasa wanawake na kuwadharau sana licha ya kuwa ni mama zenu?
 
Back
Top Bottom