Uliza chochote kuhusu Jordan University College(JUCO)

Uliza chochote kuhusu Jordan University College(JUCO)

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
mimi ni mwanafunzi wa hapo naingia third year uliza chochote kuhusu Jordan nitakujibu.
 
Jordan kinatoa kozi zipi wakuuuu

kuna kozi km 12 nakutajia chache nnazozokumbuka
>Ba with Education
>Ba sociology
>Ba law
>Busness Administration
>Ba education with religious studies.
 
vp jordan hostel zp?

hostel zipo za aina 2
>za ndani ya chuo na
>za nje ya chuo
1.za ndani ya chuo wanakaa wasichana tu.
2.za nje ndo wanakaa wavulana na wasichana wengine wasiopenda kukaa hostel za ndani, hizo hostel za nje ni za watu binasfi pia kuna room za kupanga kama hutaki kukaa hostel.
 
Ada kamili ya JUCo ni bei gani pamoja na michango? afu ni lazma Chuo kuwa na laptop?

ungeniambia na coz husika ndo ningekupa ada kamili ila sio tatizo ada ina range fro 1 to 1.2 mil hapa kwa BaED ada ni sh 1.2 mil
>michango ni around laki 4 mpaka 5 kutegemea na coz husika
>kuhusu laptop inaumuhimu wake kwa mwanachuo sababu utapunguza cost za kupeleka kazi yako stationary kuchapiwa kazi yako pia itakurahisishia kupata material kwenye net kwa ajili ya assignment unazopewa na lecture so ulazima unakuwepo.
nikipata nafasi nitaupload list ya ada na michango humu.
 
kuna wadada warembo, vp sehemu za kula batta zinapatikana humo au misuli tu
 
kuna wadada warembo, vp sehemu za kula batta zinapatikana humo au misuli tu

wadada warembo wapo so ni wewe tu na choice yako na mkwanja wako coz mapenzi ya chuo kuyatenganisha na pesa ni vigumu
>sehemu za kula bata zipo za kutosha tu ila sio ndani ya chuo sababu chuo ni cha kidini.
>sehemu za bata ni kama vile
*Samaki Samaki>kihonda
*Kingstone club>Nanenane
*Maisha Club>karibu na hood office
*Nashera Hotel
n.k
 
nashera napakubali sana nlikua na bibie flan pale tulipata kulala pamoja tulipokua tunaenda mbeya. ka usiku ka sa 3 ivi na mvua kidogo. ilikua cku nzuri sana kuukata utepe wa bibie rahma
 
nashera napakubali sana nlikua na bibie flan pale tulipata kulala pamoja tulipokua tunaenda mbeya. ka usiku ka sa 3 ivi na mvua kidogo. ilikua cku nzuri sana kuukata utepe wa bibie rahma

dah., pametulia sana pale unaenjoy mpaka bhass..,
 
Back
Top Bottom