Uliza chochote kuhusu Jordan University College(JUCO)

Uliza chochote kuhusu Jordan University College(JUCO)

Chuo kikuu chenye fensi na ukitaka kutoka lazima umuage mlinzi na mwisho wa kutoka ni saa kumi na mbili usiku
 
Unapoanza mwaka wa kwanza kuna costs zingine Ukiacha Ada? Na ni zipi?
Rooms za nje za kawaida Bei ni sh ngp? Vp mazingira ya chuo(miundombinu)?
 
Back
Top Bottom