Uliza chochote kuhusu DUCE

Uliza chochote kuhusu DUCE

sio kuwatisha tunawaambia ukweli wakifika wasibweteke
 
Kuna tatzo gan kwny hyo sentence mkuu, mbona unatokwa povu?
Pamoja na kukuonyesha sentensi bado hujatambua kosa lilipo. Duuuh! Aisee,aya ngoja nikusaidie mdogo wangu!
Hiyo sentensi ingepaswa kuandikwa
I'm a continuing Student at DUCE
Mimi siwezi kutokwa povu kama wewe unayejidai.
 
Group limeundwa kwaajili ya kurahisisha mawasiliano, kufahamiana na kushea ideas kwa mwaka wa kwanza 2017/18 duce

Nitxt 0765961152 nikupe link.
 
karibuni sana DUCE, mkutane na kina mselemo,simiyu boy(ds)...nk
 
I'm continuous student at DUCE
Daaah! Kama nyie ndo walimu basi hakuna chochote hapo. Kulikua na haja gani ya kuandika Kingereza ambacho hukijui vizuri? Ungeandika tu Kiswahili.
Walimu wapo UDOM,
Hivi vyuo vingine competence ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom