Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.
Dar es salaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani IringaIringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.
MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month
MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,
Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)
Download hii attachment mkuu. Majina ya UDSM, DUCE, na MUCE huwekwa sehemu moja