Uliza chochote kuhusu DUCE

Uliza chochote kuhusu DUCE

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.

Dar es salaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani Iringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.

MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month

MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,

Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm a student at DUCE,
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)

Tunaomba link ya majina ya duce
Download hii attachment mkuu. Majina ya UDSM, DUCE, na MUCE huwekwa sehemu moja
 
Attachments

Kwasababu wew ulisoma UDOMndo maana yaan wew mim kitambulisho changu kimeandikwa UDSM sasa wew unataka niijiiteDUCE WAKATI SIVYO na hicho chuo unachosema kinaitwa kwasaa JKN MLIMANI maana yake ni JULIUS KAMBARAGE NYERERE MLIMANI
 
Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.

Dar es alaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani IringaIringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.

MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month

MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,

Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)
Wewe ndio msemaji wa duce?
 
kila mtu ana kitu alichopangiwa na mwenyazi MUNGU ,naenda nikiwa na roho safi kabisa najua riziki ya mtu kama ipo ni ipo tu.
waliopangiwa DUCE na wanaoendelea DUCE tuwe na moyo mkuu tukiamini tutashinda
 
Kwasababu wew ulisoma UDOMndo maana yaan wew mim kitambulisho changu kimeandikwa UDSM sasa wew unataka niijiiteDUCE WAKATI SIVYO na hicho chuo unachosema kinaitwa kwasaa JKN MLIMANI maana yake ni JULIUS KAMBARAGE NYERERE MLIMANI
Wewe jibu kama msomi,sasa mapovu yanakutoka ivyo kama umemeza omo!!
 
hivi bado mnachgua hyo sector.....kwann hamuulizi waliowatangulia!mm nlisomea finance jamaa zangu wakaenda ualimu yaliyowakuta nadhan mengne mmeshayaskia!!!
Mkuu nadhni bado una kasumba ya kudhani kuwa ni lazima kila unachokisomea basi mwsho wa siku uje uajiriwe, maisha yamechange sana. Watu wanawaza nje ya box nowadays.
 
Muda wote wao ni watu wa kukaa na madesa tu
24 /7
Me nadhani ni dhana tu iliyojengeka miongoni mwa watu, lakini kiuhalisia hali iko sawa na vyuo vingine tuu, kama una lengo la kutengeneza matokeo ya aina fulani lazma u_work hard, sio duce pekee hata Oxford university iko hivyo. Otherwise labda utuambie km kuna research imefanyika kuthibitisha hilo.
 
Sababu zpo nyingi mkuu, kikubwa kama nilivyojarbu kuainisha hapo juu, DUCE ni chuo kishiriki cha UDSM so it's OK kusema ww ni sehemu ya University of Dar es alaam.

Pia ID na vyeti huandkwa simply Degree ya UDSM.

Kwa maneno mengine kama ww ni mkazi wa mkoa wa Ruvuma it's OK kujiita wewe ni Mtanzania cause Ruvuma ipo ndani ya TZA.
kwanini wanafunzi wa duce wanajiita ni wana udsm?

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
 
kila mtu ana kitu alichopangiwa na mwenyazi MUNGU ,naenda nikiwa na roho safi kabisa najua riziki ya mtu kama ipo ni ipo tu.
waliopangiwa DUCE na wanaoendelea DUCE tuwe na moyo mkuu tukiamini tutashinda
Well said mkuu. Maandshi yako yamenivutia.

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
 
Me nadhani ni dhana tu iliyojengeka miongoni mwa watu, lakini kiuhalisia hali iko sawa na vyuo vingine tuu, kama una lengo la kutengeneza matokeo ya aina fulani lazma u_work hard, sio duce pekee hata Oxford university iko hivyo. Otherwise labda utuambie km kuna research imefanyika kuthibitisha hilo.

Kwa observation yangu nmegundua wengi wanapenda zaidi kupiga msuli. mfani Kuna mtu anaanza first year had 3rd year hajawahi kufika posta , amejitahid sana kaenda kkoo kununua smartphone au pc wengne ninawajua kabisa
 
Back
Top Bottom