Mpenzi uliyekuwa naye jana wamaanisha mliyevunja naye mahusiano?
Mpenzi uliyekuwa naye jana wamaanisha mliyevunja naye mahusiano?
btw mzima watu8?
...hata nami najiuliza swali kama hilo shem.
1. Uhusiano uliopita
2. Jana yake kabla ya siku ya leo Jumanne.
Ana maana mtu uliefanya nae matusi usiku wa kuamkia leo.
Ngoja tumsubiri mleta mada atupe jibu jepesi mjadala usonge...
Habari ya wewe shem wangu?