Kuna mwanga tena hapa!!! sijui..... ila it is very very sad news! kwa wazazi wake na hata serikali, jamani mapenzi haya
inakuweje, au kuanzishe somo la mahusiano ya kimapenzi na namna ya kuyaendea !!!
Sasa hapo chakushangaza ni nn! Yaani yeye mwenyewe, kwa uamzi wake, KAJINYONGA, sasa sis tushangae na kuwa makini kwa lip? Watu bwn! Kama si mpango wa Mungu basi Alale pabaya motoni amina.