Uliye naye ulimpenda kwa sababu gani?

Uliye naye ulimpenda kwa sababu gani?

Nampenda kama alivyo I have no reason behind

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sababu ni kama alivyo ina maana asingekuwa hivyo usingempenda
 
upendo haujivuni,upendo hauna sababuuuu ukimpenda sababu ya ngozi yake iko muda makunyanzi yataota,ukimpendea shape ipo siku atakua na kitambi atabadilika...mpendeee kwa sababu ANA MAHELA,siku yakiisha na wewe unasepa

Duh! kweli mapenzi ya pesa bado yapo dunia hii?
 
upendo haujivuni,upendo hauna sababuuuu ukimpenda sababu ya ngozi yake iko muda makunyanzi yataota,ukimpendea shape ipo siku atakua na kitambi atabadilika...mpendeee kwa sababu ANA MAHELA,siku yakiisha na wewe unasepa

Hakuna upendo wa bila sababu Usiongopewe wewe.
Je unaweza kumpenda malaya, mzinzi, Asiyekuheshimu, mchawi, mgomvi au mlevi kupindukia?

Katika uhalisia zipo sifa za nje na haraka zinazoweza kumvutia mtu. Kama mavazi, rangi, umbo, urembo , upole, pesa, Ucheshi, kujari na mengine mengi discus katika uhalisia bwana.

Kama ni sura mbaya tafuta pesa nyingi au jifanyie makap uongeze mvuto wako
 
upendo haujivuni,upendo hauna sababuuuu ukimpenda sababu ya ngozi yake iko muda makunyanzi yataota,ukimpendea shape ipo siku atakua na kitambi atabadilika...mpendeee kwa sababu ANA MAHELA,siku yakiisha na wewe unasepa

hahaaaaa
 
Back
Top Bottom