Unataka ujue nilimpendea nini ili iweje?
upendo haujivuni,upendo hauna sababuuuu ukimpenda sababu ya ngozi yake iko muda makunyanzi yataota,ukimpendea shape ipo siku atakua na kitambi atabadilika...mpendeee kwa sababu ANA MAHELA,siku yakiisha na wewe unasepa
Nilipomwona tu moyo wangu ulifunguka, ilikuwa kama nilishawahi kumuona mara nyingi sana kumbe laa......