Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2

Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
Millioni moja miezi miwili? Unakaa hostel?

Anyway, karibu JamiiForums. Kijiwe cha matajiri.

Kutengeneza Tsh 200,000 kwa siku njia kubwa sana ni janjajanja tu na dili za udalali. Kama hauna aibu wewe saidia kwenye udadali au mauzo kisha top up cha kwako then mshawishi mteja alipie fasta.

Ukisikia jamaa anauza gari Tsh Millioni 4.0 wewe tafuta mteja mvishe kwa Tsh Millioni 5.0. Atabargain na kulialia hadi Tsh Millioni 4.5 na wewe utakuwa umetengeneza Tsh Laki tano. Kwa kuwa malengo yako ni Tsh 200,000 kwa siku hiyo laki tatu iliyozidi utanipa mimi hivyo na mimi nitakuwa nimetengeneza Tsh 300,000 kwa siku.

Ila nikutahadharishe tu, Watu hao hawapati pesa hizo kila siku; ni dili za mara moja moja, na nyingine ni risk sana. Au magumashi kibao hadi ya kufoji signature za marehemu.

By the way wengine ni story tu, they don't have that money!!!
 
Nimekuelewa Sana,japo Mafanikio ni siri
 
Back
Top Bottom