Uliwezaje kudili na mwanamke aliyekuweka 'pending'?

Uliwezaje kudili na mwanamke aliyekuweka 'pending'?

Status
Not open for further replies.
We nae hovyo sana,,, usiendekeze maneno mengi na kujifanya Mr Nice guy..

Nenda straight kila utakapopata nafasi ya kufanya hvo, otherwise ameshakuweka FRIEND ZONE na kuchomoka hapo ni mtihani
Unakuta manzi ushaamua kumpiga chini unaendelea na maisha mengine.... lakini bado anajishobokesha Ila mzigo hatoi
 
Mzee baba wewe kiufupi umekua fried zoned kutoka hapo yahitaji juhudi na bidii ili uweze kukitia kidubwasha chake. Principal ni ile ile mu invite somewhere mbali na hapo mlipo na iwe ni trip ya kwenda kulala au itachukua muda mwingi na ni sehem tulivu na mkiwa huko umtreate Kama mkeo full kumkumbatia kumshika Mikono ....na kumganda Ganda ....akiku uliza kwa Nini mbali mwambie naheshimu mapenzi yako sitaki nikuhatibie CV yako nk.

Kwa kuwa mpo mbali lazima utamkula tu labda wewe ndio unamapungufu Kama vile una uoga yaani hauna confidence ...ukiwa nae unatoa kile kisauti Cha uoga badala ya kukaza sauti .

Mengine kagugo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Mapenzi" mengi ya siku hizi ni biashara, Sina hata cha kuongezea nakuweka mistari migumu ya hip hop kutoka kwa Unju Bin Unuq👇

"Hawakupendi hawakupi show wanakuweka pending,
Biashara na hisia kamwe haviendi,
It's all about Benji's"
 
Wanaume uwa tunakutana na aina hii ya wanawake.

Unamtongoza lakini asemi Hapana wala asemi Ndio. Mnawasiliana vizuri pengine unaweza dhani soon unakula tunda. Lakini upewi chochote. Sometimes unaamua kumpotezea ila yeye bado anatengeneza mazingira mawasiliano yasife.

Kuna wengine anakua anaomba hela ila mwingine hataki chochote toka kwako. Ukimuita baby wala haimsumbui ila mzigo hatoi.

Wanawake wa hivi mnadili nao vipi?
Endelea kumjali atakubless..... Wengine hawakubaligi directly
 
Unakuta manzi ushaamua kumpiga chini unaendelea na maisha mengine.... lakini bado anajishobokesha Ila mzigo hatoi

Ukiamua kukausha mzee kausha Jumla
au hakikisha sababu ya kukakusha iwe ni kwasabu hataki kuleta mbususu (na hakikisha anaijua sababu),,,ukiona amekutafuta tena na anajua reason ya kukaa kimya basi hapo unaweza kula kimasihara..
 
Ukiamua kukausha mzee kausha Jumla
au hakikisha sababu ya kukakusha iwe ni kwasabu hataki kuleta mbususu (na hakikisha anaijua sababu),,,ukiona amekutafuta tena na anajua reason ya kukaa kimya basi hapo unaweza kula kimasihara..
Ok nimekusoma mtaalam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom