Uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi

Amina mkuu asante kwa neno ila leo hata mi nimeshangaa... umeokoka lini? au ndio shetani akizeeka sana anakuwa malaika? (jst joke)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shetani akizeeka anakuwa malaika
 
Hivi wale wanaokaushwa miili yao na kuhifadhiwa sehemu maalumu miili yao inahesabika imerudi wapi?
 
Hapa ndio penye siri ya dhana ya kifo kwenye mwili uharibikao.

Kwa imani za Mungu mmoja, binadamu aliumbwa toka mavumbini...aliumbwa kinyago mpaka pale alipopuliziwa pumzi ya uhai/kuwekewa roho.

Mungu aliposema natuumbe mtu kwa mfano wetu dhana kuu ilikuwa kwenye ile pumzi ya uhai pumzi ya uzima, uzima wa milele.

Pumzi inayozungumziwa hapa ni ile pumzi ya kimungu ambayo IPO ilikuwepo na itakuwepo milele..haifi wala kuharibika ni pumzi roho isiyokufa.

Ndio maana baadhi ya imani hutumia maneno haya uliumbwa kwa mavumbini na mavumbini utarejea kamwe pumzi yako iliyokutoka haitajwi kwakuwa haijafa bali imerudi panapostahili ama la kwenda pengine popote.

Mungu sio mwili bali ni roho na pumzi ya uzima wa milele ukienda paradiso huendi mwili unaenda roho isiyokufa ukienda jehanam huendi mwili bali unaenda roho iliyobeba ufahamu.

Unapojitahidi sana kuugharamia huu mwili uharibikao kwa nguo na vipodozi vya gharama na karamu za kidunia huku roho ikiwa chafu ni sawa na kujipaka manukato ya bei ghali kwenye mwili mchafu.
Leo umekosa mada za uchawi mkuu?

Anyway, wote wenye mwili tutafakari picha na maneno haya
663c44bde8398c6b83ca7849e83749f5.jpg
 
Mkuu ni ukweli usiopingika kuwa mwili na Roho siku ya mwisho vitaungana katika kushiriki tendo la uzima wa Milele.Vyote mwili na Roho vinahitajiana ili mwanadamu akamilike na hivi vyote lazima viufikie uzima Wa Milele.Mwili si Wa kutupa tupa.Bila mwili kwa mwanadamu Roho haipati nafasi ya kudhihirika na kinyume chake.
 
Ila mmojawapo hapa alikufa akiwa kaachama ama kwa kupiga yowe ama vinginevyo..mengine hayajibiki
 
Mkuu ni ukweli usiopingika kuwa mwili na Roho siku ya mwisho vitaungana katika kushiriki tendo la uzima wa Milele.Vyote mwili na Roho vinahitajiana ili mwanadamu akamilike na hivi vyote lazima viufikie uzima Wa Milele.Mwili si Wa kutupa tupa.Bila mwili kwa mwanadamu Roho haipati nafasi ya kudhihirika na kinyume chake.
Mmh kama ni hivyo waweza kuwa sawa lakini hili tendo litafanyika hapahapa duniani pale wafu watakapofufuliwa toka makaburini na kila mtu kupewa hukumu...kishapo watakatifu wake watavaa miili ya roho na kuacha miili ya vumbi hukuhuku na wale wadhambi nao watavaa miili ya kuzimu na kwenda jehanam kupata adhabu yao milele
 
Back
Top Bottom