Ulitumia mbinu zipi ukafanikiwa kuacha zinaa?

Mkuu we acha tu nilishakula kiapo kamwe sitofanya tena,ilikuwa tarehe 30/5/20019 Mimi na Mchepuko wangu tulienda kupima HIV ni baada kuipiga kavukavu ,vipimo vikaonyesha mwenzangu Positive halafu Mimi Negative,nilichanganyikiwa ,nikapewa ushauri nianze dozi ya kudhibiti maambukizi mwezi mmoja,Ile dozi ilinitesa Sana mwezi ulikuwa Kama mwaka ,lakini baada ya hapo nikaendelea na uzinzi
Duuuh...! Kumbe ilitakiwa uwe umeshaokoka zamani
 
Wake kwa waume ,naomba msaada wenu ili niondokane na hili janga,nimekuwa mtumwa wa ngono kwa miaka kadhaa sasa,kabla ya kuingia kwenye mkataba wa ndoa niliapa nikishafunga mkataba kamwe sitofanya tena na huu upuuzi,nilijitahidi mwaka mmoja tu wa mwanzo baada ya hapo ikawa fungulia mbwa,Kila nikijitahidi kuacha nakumbana na vishawishi na kujikuta naendelea,kibaya zaidi mwenzangu ananiamini sana kamwe hajawahi kunitilia mashaka,hicho nacho kinachangia sana kuitesa nafsi yangu,natamani niwe Kama anionavyo mwenzangu lakini nashindwa, nikishafanya huo upuuzi huwa najuta sana na kila nikitoka kufanya hivyo lazima nimnunulie zawadi yoyote ,roho inaniuma,kwenu mliofanikiwa kupambana hili janga leteni mbinu zenu hapa kwa faida yangu na wengine.
Mwenza wako huwa yuko mbali sana unapojikuta unaanguka na wa nje?
 
Hapo kabla sikuwahi kushiriki mapenzi ila baada ya kufika chuo nikakutana na this guy, mwanzo alinifuata kama rafiki ila baadae tukaishia kuwa wapenzi and He took my virgin.

Ila baadae akabadilika from nowhere nikajikuta na date na other two guys kwa mpigo hadi pale nilipo bahatika kutoka na Prof aliekuwa anatufundisha somo fulani.

Mwanzo nahisi alikuwa ananijaribu but tukaishia kuwa wapenzi hadi hii leo na pale ndipo niliacha kushiriki mapenzi nje.
Unaeleza nini, au mleta mada apate ujumbe gani?
 
Kila mara unapofikiria kufanya zinaa unakuwa na mawazo kwamba huyu candidate mpya lazima atakuwa mtamu balaa. Unasahau kwamba hata wengine hapo nyuma ulijidanganya hivyo hivyo baadae ukaja waona wa kawaida huu ndio Mzizi wa Uzinzi
Ukitaka kuukata huo mzizi unapojisikia kufanya uchafu huo jiulize maswali 2 yafuatayo

1. Hivi huyu ana tofauti gani na wale wengine waliopita au kuna nini kipya kwake ??

2. Hivi mimi peke yangu ndio Mwanaume mwenye macho ? Wengine hawajaona ? Hawajathubutu ?
 
Dah, zinaa ni tatizo Mkuu.kiukweli.bila msaada wa Mungu daily utakua unawaza kutafuna"ndogo" za watoto wa watu...mbaya zaidi zinaa kiimani inaharibu sana future..yaani kimsingi ina hasara zaidi..unaweza kuhisi umerogwa kumbe ni ile laana ya Ku.f.ira watoto wa watu..inaleta umasikini na magonjwa...
 
Wewe piga tu mkuu,ukiacha nani atawachakata. Ndio ushangae ukifika mbinguni dhambi kuu ni kutowagegeda sawa sawa hawa wanawake ktk umri wako. Maana ni wengi,na ndio makusudi ya MUNGU,wewe unafikiri amewaleta we wengi kwa nini?. Ili wabaki wapweke?Utaambiwa yule pale ulimtamani ukamuacha dhambi moja ya kumuacha mmoja viboko 100. Hapo sasa hizo adhabu za 100 mara hao hukuwatendea haki,sijui utakuja maliza lini?
Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Nilikua najipa moyo kua nikiolewa ntaacha kumbe ndoa haisaidii. Mzee wewe sio mzinzi bali malaya ulishazoea kudonoa donoa sasa hivi huwezi kutulia na mkeo. Endelea kukitembeza maana hata nikikushauri uoe mke wa pili haitokokusaidia
 
Mkuu we acha tu nilishakula kiapo kamwe sitofanya tena,ilikuwa tarehe 30/5/20019 Mimi na Mchepuko wangu tulienda kupima HIV ni baada kuipiga kavukavu ,vipimo vikaonyesha mwenzangu Positive halafu Mimi Negative,nilichanganyikiwa ,nikapewa ushauri nianze dozi ya kudhibiti maambukizi mwezi mmoja,Ile dozi ilinitesa Sana mwezi ulikuwa Kama mwaka ,lakini baada ya hapo nikaendelea na uzinzi
Wewe ni sikio la kufa
 
Kila mara unapofikiria kufanya zinaa unakuwa na mawazo kwamba huyu candidate mpya lazima atakuwa mtamu balaa. Unasahau kwamba hata wengine hapo nyuma ulijidanganya hivyo hivyo baadae ukaja waona wa kawaida huu ndio Mzizi wa Uzinzi
Ukitaka kuukata huo mzizi unapojisikia kufanya uchafu huo jiulize maswali 2 yafuatayo

1. Hivi huyu ana tofauti gani na wale wengine waliopita au kuna nini kipya kwake ??

2. Hivi mimi peke yangu ndio Mwanaume mwenye macho ? Wengine hawajaona ? Hawajathubutu ?
Kweli kabisa,unatamani halafu ukishapewa wakati mwingine unaona bora yule wa mwaka juzi baada ya kukosa ulichokitarajia
 
Dah, zinaa ni tatizo Mkuu.kiukweli.bila msaada wa Mungu daily utakua unawaza kutafuna"ndogo" za watoto wa watu...mbaya zaidi zinaa kiimani inaharibu sana future..yaani kimsingi ina hasara zaidi..unaweza kuhisi umerogwa kumbe ni ile laana ya Ku.f.ira watoto wa watu..inaleta umasikini na magonjwa...
Huo mchezo wa kfrn simo mkuu
 
Nilikua najipa moyo kua nikiolewa ntaacha kumbe ndoa haisaidii. Mzee wewe sio mzinzi bali malaya ulishazoea kudonoa donoa sasa hivi huwezi kutulia na mkeo. Endelea kukitembeza maana hata nikikushauri uoe mke wa pili haitokokusaidia
Usikate tamaa unaweza ukaacha,Ila ukiolewa na goigoi wakati ulishazoea wasimamia vidole itakuletea changamoto kubwa sana
 
Write your reply...unataka uache nini acha upuuzi huo ndo udume wa mbegu yaani hata jogoo anakushinda pathetic au jogoo hapandi mtungi nini

baada ya kutoka kifungoni nimejikuta napenda ugomvi kuliko kula sasa we jikute sio mtoa mada vamia comment yangu uone mamaae lazima turudi wote kifungoni au tuonekane kituko
 
Si ungebaki hukohuko kwa wababe wenzio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom