Ulitumia mbinu zipi ukafanikiwa kuacha zinaa?

Jabakeke, Ukiona hivyo ujue kuna roho ipo inakutumikisha ,kama muisilamu mtafute shehe usomewe dua mdudu mchafu akutoke.....

Au kama mkristo tafuta baba wa kiroho mwambie halafu atakuombea

Halafu kingine jitahidi kujitenga na marafiki wabaya inaweza ikakusaidia sana
 
Nimefanikiwa kuacha migegedo pale nilipokoswakoswa na ngoma zaidi ya mala 39 nikaona 40 kama ya mwizi nitavikwaa vidudu nikaamua kuacha
 
Jabakeke, Ukiona hivyo ujue kuna roho ipo inakutumikisha ,kama muisilamu mtafute shehe usomewe dua mdudu mchafu akutoke.....

Au kama mkristo tafuta baba wa kiroho mwambie halafu atakuombea

Halafu kingine jitahidi kujitenga na marafiki wabaya inaweza ikakusaidia sana
Hao nao Unakuta ni walewale wamejificha kwenye dini tu
 
Wake kwa waume ,naomba msaada wenu ili niondokane na hili janga,nimekuwa mtumwa wa ngono kwa miaka kadhaa sasa,kabla ya kuingia kwenye mkataba wa ndoa niliapa nikishafunga mkataba kamwe sitofanya tena na huu upuuzi,nilijitahidi mwaka mmoja tu wa mwanzo baada ya hapo ikawa fungulia mbwa,Kila nikijitahidi kuacha nakumbana na vishawishi na kujikuta naendelea,kibaya zaidi mwenzangu ananiamini sana kamwe hajawahi kunitilia mashaka,hicho nacho kinachangia sana kuitesa nafsi yangu,natamani niwe Kama anionavyo mwenzangu lakini nashindwa, nikishafanya huo upuuzi huwa najuta sana na kila nikitoka kufanya hivyo lazima nimnunulie zawadi yoyote ,roho inaniuma,kwenu mliofanikiwa kupambana hili janga leteni mbinu zenu hapa kwa faida yangu na wengine.
Ujumbe: EPUKA DHAMBI YA ZINAA - II
Avoid Marital Sin
________________________________________

Bwana Yesu asifiwe,
Mpendwa katika Kristo Yesu, rehema za Mungu na zikujilie.
Nakupenda. Nakuombea. Nakuhitaji. Natamani uushinde ulimwengu. Napenda tuingie pamoja mbinguni. Yesu Kristo anakupenda alijitoa kwa ajili yako.
Dhambi ya zinaa ni mbaya. Inaua , inakondesha, ina laana, inafukarisha, inafedhehesha, ni lango la pepo wabaya, ni kisima cha magonjwa hatari, ni upuuzi na wazimu, ni mzigo mzito, ni kaburi la wazi, ni gereza la mwili, nafsi na roho. Zinaa hutenga mtu na Mungu.

MIHIMILI YA DHAMBI YA ZINAA

1. SUMAKU TATU ZA SHETANI

Kuna sumaku tatu kuu za Shetani; Zinaa, Fedha na Cheo.

Sumaku zinaa ni kuu na kali sana. Inanasa kila aina ya madini mpaka udongo na plastiki. Inanasa vyuma vipya na hata chakavu. Viwe vizima au vibovu inakamata!
Sumaku hii ina tamaa kubwa hairidhiki. Ina vuta tu!

Wakubwa kwa wadogo, matajiri , maskini na hata baadhi ya wana wa Mungu wamenaswa!, Watumishi wa uongo nao wamenaswa! wenye cheo na wasio nacho, waliooa na wasioolewa kilio!

Sumaku zinaa hainasi wateule tu!

Zinaa ni mtandao mkuu wa kuzimu. Mtandao huu ni wireless gesti, kasino, kilabuni, kumbi za disko, kumbi za starehe, mitaa ya uswahilini, kwa nyumba za wajane, maghetoni, vichochoro, danguro, vichakani na katika sehemu za ufichoni.

Dhambi ya zinaa ni mtego wa wazi. Lakini wasio na hekima ya Mungu hunaswa.

"Lakini kila mmoja hujaribiwa na TAMAA YAKE MWENYEWE, huku AKIVUTWA na kudanganywa+

Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti"
Yakobo 1:14 -15

Wanaume wasiomcha Mungu, huangushwa na Ibilisi kupitia hisia kwa kumtazama mwanamke sura na kiunoni. Fumba macho yako mwanaume! Mtazame Yesu Kristo msalabani. macho ni lango; Angalia kilichomponza mfalme Daudi,

"Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani , akatembea juu ya dari ya jumba la kifalme, alipokuwa juu ya dari aliona MWANAMKE ANAOGA, naye huyo mwanamke alikuwa MZURI SANA, wa KUPENDEZA MACHO+

Naye Daudi, akapeleka, akauliza habari za yule MWANAMKE, Mtu mmoja akasema, Je huyu siye Beth-Sheba, binti Eliamu, mkewe Uria Mhiti?

Basi akapeleka wajumbe, akamtwaa, naye akaingia kwake; naye akalala naye ( maana yule mwanamke amekwisha kutakasika unajisi wake; Kisha akarudi nyumbani kwake+

Yule mwanamke akachukua MIMBA; basi akapeleka na kumwambia Daudi , akasema, Ni mja - mzito"+
2 Samweli 11:2 - 5

Hii dhambi ilileta mauti mbili huyo Mtoto wa Daudi alikufa, Uria aliuawa kikatili kwa kusalitiwa na Jeshi la Israeli ili kuficha dhambi ya Daudi. Absalomu mwana wa Daudi kweupe mbele ya Israeli alilala na wake na Masuria wa baba yake. Ilileta matatizo makubwa ya vita wakati wa Utawala wake, muda wote Israeli ilikuwa na vita, alimwaga damu nyingi sana Daudi.

Hata leo, wanawake wasiomcha Mungu wameangushwa na hisia baada ya kumtazama mwanaume mzuri, aliyejazia, Mcheshi na
mwenye fedha.
Ziba masikio dada! Usije ukanaswa na kuanguka!

Kumbuka, Eva na Shetani! Shida ilikuwa stori tu. Mwanzo 3:1 - 7
Ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa.

2. KUKOSA HEKIMA YA MUNGU (UJINGA)

" Kila alilye mjinga na aingie humu; Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili; Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza.

Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo, Ya kuwa wageni wake wako kuzimuni"
Mithali 9:16 -18

Nakushauri chimba kisima chako mwenyewe maji ya watu wengine yana mdudu!

"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalo mwangamiza nafsi yake+

Atapata Jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika"
Mithali 6:32-33

"Mwanangu mbona unashangilia malaya, na kukumbatia kifua cha mgeni?
Mithali 5:20

"Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake+

Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani+
Mithali 6:25 -26

4. LUGHA LAINI (UMBEMBELEZI)

"Maana midomo ya malaya hudondoza asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kuliko upanga wa makali kuwili "
Mithali 5:3 - 4

Kahaba hubembeleza sana, ili kuua kabisa hatima ya maisha ya mtu, tazama Mithali 7:5-27

5. UREMBO ULIOPITILIZA
Makahaba hutumia vipodozi vikali na mapambo ya kupitiliza na pafyumu za hali ya juu kuvuta hisia za watu ili kuwaangusha . Mfano : Roho ya Yezebeli.

"Hata Yehu alipofika Yezreleli, YEZEBELI akapata habari, akata uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani"
2 Wafalme 9:30

Ulitumainia uzuri wako, ukafanya mambo ya kikahaba, kwa sababu ya mambo ya kikahaba , kwa sababu ya sifa zako, ukamwaga mambo yako ya kikahaba juu ya kila mtu aliyepita; ulikuwa wake+

Ukatwaa mavazi yako ukajifanyia mahali palipoinuka, palipopambwa kwa rangi mbali mbali, ukafanya mambo ya kikahaba juu yake, mambo kama hayo hayatakuja wala hayatakuwako"+
Ezekieli 16:15 -16

"Jinsi ulivyotengeneza njia yako ili kutafuta mapenzi! Kwa sababu hiyo hata wanawake wabaya umewafundisha njia zako"
Yeremia 2:33

Amepanda juu ya kila mlima mrefu akafanya ukahaba, tena chini ya kila mti wenye majani mabichi, akazini na miti na mawe, nchi ikatiwa unajisi.
Yeremia 2:20 - 22, 3:6-9

6. KUPENDA HONGO AU RUSHWA

" Mke wa mtu , aziniye! Akaribishaye wageni badala ya mumewe! Watu huwapa makahaba wote zawadi, bali wewe unawapa wapenzi wako wote zawadi zako, na kuwapa rushwa ili waje kwako pande zote, kwa ajili ya mambo yako ya kikahaba"+
Ezekieli 16:33

ADHABU ZA MUNGU JUU YA DHAMBI YA ZINAA

- Yezebeli aliuawa kifo cha kutisha 2 Wafalme 9:31 - 37

- Kuangushwa Mji wa Babeli na Kahaba wake

- Mungu iliiteketezwa Sodoma na Gomora kwa moto
- Hofni na Finehasi wana wa Kuhani Eli waliuwawa
- Samsoni alipoteza nguvu na kutobolewa macho
- Malaika walioasi walikamatwa na kufungwa
- Ulimwengu uliteketezwa kwa maji (Gharika ya Nuhu)
- Kukataliwa na Mungu
- Israeli kutupwa katika mikono ya adui zao
- Baraka zilichelewa
- Mauti iliachiliwa
- Magonjwa sugu yaliachiliwa
- Kukosa uzima wa milele
- Roho wa Mungu huondoka
- Balaamu aliuawa kwa upanga
- Kutupwa katika ziwa la moto

Kuna madhara makubwa ya dhambi zinaa katika taifa mbele za Mungu.
Ezekieli 16:1- 63, Ezekieli 23:1-49, Isaya 43:3

Mpendwa Usifiche dhambi, Tubu leo , Okoa nafsi yako. Njoo kwa Yesu upate rehema. Mungu hapendi mchanganyo.

Bwana Yesu Kristo asema,

"Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto, ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto+

Basi, kwa sababu una uvugu vugu, wala hu baridi wala moto NITAKUTAPIKA utoke kinywani mwangu"
Ufunuo 3:15-16

Ikiwa ulianguka katika dhambi hii tupigie simu au tuma meseji Ukianza na Neno REHEMA , Kisha jina lako na mahali ulipo. kwa namba tajwa hapo chini.

Yesu Kristo ni wa huruma, bado anakuita, "Njoo kwa Yesu akuokoe"

"Basi, kumbuka ni wapi ulipoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza.
Lakini usipofanya hivyo naja kwako nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu"
Ufunuo 2:5, 21-23
Sifa, heshima, utukufu, mamlaka na enzi apewe Mungu wa Israeli.
AMEN
__________________________________
 
Asante mtumishi
 
USIMNUNULIE TENA ZAWADI. ALAFU BADILI NAMBA ZA SIMU. KINGINE CHA MUHIMU KULIKO VYOTE MWAMBIE UKWELI KUHUSU TABIA ZAKO NA JINSI INAVYOKUTESA. YEYE MWENYEWE NDO CHANZNO CHA WEWE KUWA MALAYA. KUNA VITU HAKUPI INAKUBIDI UKAVITAFUTE HUKO. MCHANE LIVE ILI AJIREKEBISHE
 
Fafanua hapo pa kutomnunulia zawadi, labda nitaelewa😊

Write your reply...unataka uache nini acha upuuzi huo ndo udume wa mbegu yaani hata jogoo anakushinda pathetic au jogoo hapandi mtungi nini

baada ya kutoka kifungoni nimejikuta napenda ugomvi kuliko kula sasa we jikute sio mtoa mada vamia comment yangu uone mamaae lazima turudi wote kifungoni au tuonekane kituko
Haya MI sivamii comment yako
 
Huu huenda ukawa uzi Bora zaidi wa kufunga mwaka.

Haya ndo mambo ya msingi wanaume tunatakiwa kujadiliana na kupeana ushauri.

Hali ni mbaya sana miongoni mwetu.

Allah, tusaidie kuvunja ukimya na kutubadilisha maana nia tunayo.

Mungu awabariki wote.
 
Fafanua hapo pa kutomnunulia zawadi, labda nitaelewa😊
Mfano umenunulia gauni, hilo gauni ulinunua siku umemsaliti ulivyomla Maria(mfn). siku akivaa hilo gauni linakupa kumbukumbu na utamu wa maria, linakukumbusha tena so linakushawishi ukamtafune Maria tena. Zawadi inabeba kumbukumbu fulani sasa memory ya ufuksa unamkabidhi mkeo.

mfundishe wife jinsi ya kukupa hivyo unavyovifata huko nje, tafuta documentary ya kamasutra muonyeshe ajifunze style mbalimbali na mzifanyie practical pamoja na msisitize asijisahau atakupoteza, kama ni mnene aanze kupunguza mwili, kama ni usafi aongeze mkumbushe kujiongeza sana otherwise ufuksa wako utamwathiri na yeye.
 
Umesomeka mkuu,nitakuwa namletea pipi tu au juice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kubaini ya kwamba uzinzi ni starehe ya muda mfupi tu ambayo inaweza kuwafanya wanangu wakose malezi/matunzo toka kwa baba yao. Michepuko mingi na yenyewe inachepuka pia, hivyo ni kuongezeana uwezekano wa kuambukizana maradhi. Hela zote ambazo zingeenda kwenye michepuko sasa hivi zinaenda kwenye akaunti za watoto (wao hawalijui hili).
 
Saaafi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom