Ulitumia mbinu gani kumpata mpenzi wako?

First girlfriend wakat ndo naingia town nlijifanya
Nmerong number shuhuli
Nliona aiseeee c ya kitoto

Lakin yote 9,10 mwanaume
Nkafunuliwa papuch kwa raha
Mustarehee
 
Uliza daktari alipata wapi mke, uliza nesi alipataje mme, uliza mwalimu alipata wapi mke, uliza dreva/konda, uliza muuza nguo za kike, uliza askari...n.k hawa wengi hupata wapenzi wao wakiwa wanatekeleza wajibu wao.
 
Ina mana mwalimu alimbadilsha student kuwa mke?
Hiki kiama sasa
 
Back
Top Bottom