Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

magasi jnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
364
Reaction score
571
Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021)

BACK TO THE TOPIC
Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha hivi karibuni... Kuna mda nikikaa mwenyewe nawaza mengi sana moyoni " Hivi kweli na mimi nitakuja kujenga na kuwa na familia kama wengine" b'coz mpaka sasa ni mtu wa kusubiri ugali mezani

Hivyo basi ningependa kusikia maoni na ushauri kutoka kwa WAKUBWA, Je Ninyi Mlitoboa MAISHA mkiwa na UMRI gani???? Hasa wanaume ambaye ni nguzo kuu ya kujenga familia, Lengo kubwa la kuuliza hivyo ni kwamba mawazo yananiua mdogo mdogo, kwa kifupi najiona kama Nimechelewa hivi na bado nazidi kuchelewa.

#LIVE, LAUGH, FOCUS
 
Mkuu bado una nafasi kubwa usikate tamaa..2012-2018 hii ndo miaka iliyonikomaza sana kiakili na kifikra kutoka hapo sikuogopa maisha tena maana mengi nilipitia na mpaka sasa Alhamdulillah siku moja nikifika safari yangu ninapopataka zaidi nitaleta uzi humu na sitaficha hata kitu kimoja.

Mimi nilikua natembea na huu msemo mpaka leo "There is no victory without history"
 
Shukran mkuu, bado napambana na stress za maisha kabla hata ya kuanza kupambana na maisha yenyewe
 
kwa sababu hiyo ni very relative term na kila mtu ana tafsisri yake. Mwingine akiwa na uhakika wa milo 3 per day anaona ametoboa life. Tafsiri yako iko tofauti na yangu
Yako ikoje mkuu
 
Back
Top Bottom