Ulitamani kujiendeleza kielimu na mambo yamekwenda ndivyo sivyo

Nov 2, 2020
68
90
Habari Wakuu,

Inawezekana hivi sasa ni miaka kadhaa uko nyumbani au mtaani au pengine mwaka huu ulitamani kujiendeleza kielimu kwa ngazi yeyote, Lakini umekumbwa na changamoto ambazo zimepelekea kukwamisha ndoto zako.

Niliwahi kukumbwa na hali kama hii,Kiukweli ugumu wake asikwambie mtu,Lakini kwa kuwa nia ilikuwa moyoni nilizigeuza changamoto kuwa fursa, Ikiwa ni pamoja na kujisomea online, IIihali nikitafuta vyuo vilivyoendana na ufaulu wangu.

Nawe karibu katika uzi huu utueleze kwa sasa unafanya nini kuhakikisha hutoki nje ya wazo lako.
 
Fursa kwa sasa ziko nyingi sana. Vyuo vikuu huria. Elimu huria. Qualification frameworks.
 
Back
Top Bottom