ulitaka kusemaje ?

ulitaka kusemaje ?

Yote Tisa !! kukosea maneno ilikua inajulikana Kama kuchapia!! Sasa kuna Jamaa alikua anamcheka mwenzie amechapia akacheka " HAHAHAHAAA UMEPACHIA" kumbe nae kachapia!!
 
niletee chips kaki na mishkuku sita na ucsahau panta fashion ya baridiiiiii fanya fasta muhujumu njaa inanyuma sana
 
1. Shusha madirisha (akimaanisha Shusha pazia).
2. Nenda ITV (akimaanisha badilisha channel to ITV)
 
Nakuahidi mwisho wa gauni nikipokea mwezi nitakununulia mshahara
 
nyumba silipi na kodi sitoki ukitaka nenda huko huko mahakamani tutapambana polisi
 
Hii nimeisikia leo wala sio utani. Mtangazaji wa Cloud FM ( Jeff) katika kipindi kinachohusu michezo alichapia kwa kusema "...golikipa wa makocha..." lakini alijisahihisha na kusema "kocha wa magolikipa.."
 
Back
Top Bottom