Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Haya utupe mrejesho. Ila mm nashauri tofauti kwa leo. Mpe nafasi ya pili. Dunia imemnyorosha kanyoroka.
 
Ulikipost juzi, nimekisoma chote. Nimeona jinsi kinavyoapply in my prior and current experiences.

Thanks for sharing, ubarikiwe. Hiki ni kitabu cha kufungia mwaka.
Ubarikiwe sana Mkuu.

Sasa raha yake si kukosoma mara moja na kukirudisha kabatini, Kisome kwa kukirudia mara nyingi iwezekanavyo.
 
Mtafune kwanza, afu umpotezee
 
Na hii ndio tabia halisi ya wanawake. Hapo tunasema Simba amekosa nyama anaamua kuyageukia majani.
Binafsi siwezi kukubali kuwa optional man. Huyo hakupendi ila amehangaika na anaowataka wamemchosha na kutanua maumbile yake halafu anakupa makombo wewe. Na baada ya kuzoeana jiandae kutukanwa na kuambiwa alikuonea huruma tu.
Raha ya mwanamke akupende na kukubali bwana.
 
Hii kitu ya kufanywa "rebounding balls" hata Kama position ya "kufunga" ipo naipinga kishenzi potelea mbali Kama utaniita mwanasiasa wa mapenzi lakini aliyekukataa akaenda huko alafu akatumia na wengine alafu akagonga mwamba alafu akiwa anarudi "kujitafuta" akutane na wewe aliyekuacha alafu umkumbushe ile Nia yako...Isee hapana!
Lengo sio kufunga Bali ni mchakato wenyewe Kuna Raha ya kuuangalia mchakato wenyewe wa kupatikana kwa goli bwana...Mimi kuwa rebounding guy hapana!
 
Second chance mazee
 
Msitari wa mwisho nimeupenda. Hahaaa, daah
 
Sasa unafika mbali, whaat!?
Naunga mkono hoja,,,,7yrs !!!
Amechukua point of weakness ya wewe kumpenda, sasa anaona huwezi pindua,
Piga alafu mwache solemba...akikutana na mabaharia kama sisi na ndogo analiwa alafu tunapotezea, jino kwa jino...Torati izingatiwe...
 
U seem to be a good mother!
 
ISO M.CodD Page 172

 
Huyo umri wa kuolewa umeshafika na mbele anaona giza [emoji2957][emoji2957]
Tabia za kiume hizi umeanza, ukiwa unasema ukweli hivi unakuwa mnoko halafu unapunguza ladha ya mapenzi duniani , mapenzi yanaleta ladha kukiwa na vijiu-ongo kama hivyo , ambao hawatimii akili wanapopigwa bao basi the world go round na wengine wenye akili wanapata faida wanapata shule bila kulipia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hivi umewaza nini lkni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…