pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 516
- 815
Wakuu habarini!
Katika maisha yangu sikutegemea kuoa kama nilivyofanya kwa sasa.
Kisa kipo hivyo,kuna Dada mmoja nilianza nae mahusiano kama MTU na mpenzi wake,yeye alikuwa amepanga chumba chake na mimi nilikuwa nimepanga chumba changu.
Ikawa kila siku tunabadilisha vyumba Mara kwake Mara kwangu.
Muda ulivyozidi kwenda nikaona uboya huu kwenda kulala kwake,nikaamua kukacha mazoea ya kwenda kwake kulala.
Yeye akawa anakuja kwangu kila siku ila kwake anapafunga,ikawa kama kawaida
Tulidumu kwa muda wa miezi 6.
Demu akaanza kuleta nguo zake ndani kama masihara hivi,kila akija lazima aache nguo cha ajabu akawa akitoka kazini kwao anafikia kwangu kuoga kula kila kitu kwangu.
Nikajaribu kumwambia mbona kwako haukai?akasema ametokea kupapenda tu kwangu.
Basi Mara akaomba funguo moja ..nikaona sio kesi ngoja nimpatie.
Mwezi uliopita demu kaniambia ana mimba yangu hivyo inabidi tuoane.nilijaribu kumwambia sina mpango wa kuoa sasahivi labda ilo tupange badae..
Mpaka sasahivi mimeoa bila kutarajia wala sikupanga kabisa kuoa mwaka huu ..
Karibuni wakuu tushee mawazo.je wezangu mulioaje?