Lordrank JF-Expert Member Joined Apr 16, 2020 Posts 453 Reaction score 247 Jul 5, 2020 #21 pet geo pet said: Hamna mkuu hapa nishachanganyikiwa! Click to expand... 😂😂😂
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,098 Reaction score 4,831 Jul 5, 2020 #22 Mkuu unaoa kimasihara halafu hauna kazi? subiri kugongewa. pet geo pet said: Bado mkuu! Click to expand...
Mkuu unaoa kimasihara halafu hauna kazi? subiri kugongewa. pet geo pet said: Bado mkuu! Click to expand...
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,355 Reaction score 5,085 Jul 5, 2020 #23 Tatizo we muaminifu sana, la sivyo yasingekukuta. Lazima ingetokea ukawagonganisha au usingekubali awe anakuja kwako kwa kuogopa misala
Tatizo we muaminifu sana, la sivyo yasingekukuta. Lazima ingetokea ukawagonganisha au usingekubali awe anakuja kwako kwa kuogopa misala
Marlex Jr JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,823 Reaction score 2,425 Jul 5, 2020 #24 ¼ uoa kwa kupanga ¾ ni kwa namna hii na nyinginezo
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Jul 5, 2020 #25 Haya mambo bila kufosi kama hivi hayaendi. Nitaoa nitaoa muda unazidi kwenda😀. Wanawake siku hizi ndio zao ukimuonyesha tu kwako ndilo linalofuata.
Haya mambo bila kufosi kama hivi hayaendi. Nitaoa nitaoa muda unazidi kwenda😀. Wanawake siku hizi ndio zao ukimuonyesha tu kwako ndilo linalofuata.