HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,703
- 48,143
Wewe umekurupuka kuniambia nadanganya watu.Nakurupukaje kama wewe au??
Nadanganya ili iweje?
Wewe umekurupuka kuniambia nadanganya watu.Nakurupukaje kama wewe au??
Nimekuonesha moja ya gari inayofanya shughuli hizo.
Hata kama ingekuwa imeegeshwa chumbani.
Upo?
Ngoja nikuulize swali?Duuh ngoja nikae kimya ila kwa msaada wa bure bara bara inafagiwa kutoa mchanga na kisha they wet si deki kaka
Ngoja nikuulize swali?
Ukishamaliza kufagia kisha ukipitisha maji nini maana yake?
Sio deki
Hatushindani.Umeshinda mkuu Lowasa    Mimi boya magufuri ntakuwezea wap?? Wewe noma
Aiseee watu wanabidii