positive is normal JF-Expert Member Joined Dec 25, 2017 Posts 520 Reaction score 978 Jan 5, 2018 #221 sergio 5 said: Itabidi tuwe marafiki mkuu ili na mimi niwe nanufaika kwa kuiazima iyo kitu maana ni ulevi wangu mkubwa mno Click to expand... Ha ha ha ha hakuna shida mkuu
sergio 5 said: Itabidi tuwe marafiki mkuu ili na mimi niwe nanufaika kwa kuiazima iyo kitu maana ni ulevi wangu mkubwa mno Click to expand... Ha ha ha ha hakuna shida mkuu
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,990 Jan 5, 2018 #222 Hivi kuna tofauti kati ya kitu unachokipenda na addiction? Maana mim napenda san kupenzika ila nimeshindwa kabsa kupenzika na Under 30s
Hivi kuna tofauti kati ya kitu unachokipenda na addiction? Maana mim napenda san kupenzika ila nimeshindwa kabsa kupenzika na Under 30s
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,080 Jan 5, 2018 #223 sergio 5 said: Itabidi tuwe marafiki mkuu ili na mimi niwe nanufaika kwa kuiazima iyo kitu maana ni ulevi wangu mkubwa mno Click to expand... jamaa kwa huu mzuka si utampiga changa huyo mwenzako! nna mashaka na wewe unaweza ukaazimwa hlf usirejeshe tena...
sergio 5 said: Itabidi tuwe marafiki mkuu ili na mimi niwe nanufaika kwa kuiazima iyo kitu maana ni ulevi wangu mkubwa mno Click to expand... jamaa kwa huu mzuka si utampiga changa huyo mwenzako! nna mashaka na wewe unaweza ukaazimwa hlf usirejeshe tena...
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,544 Jan 5, 2018 #224 nilikuwa adct wa game, movie na pombe thanks god nimeacha ila sasa internet na pesa yani nikikosa hata buku mfukoni ninakuwa na mawazo mpaka watu wana nishangaa
nilikuwa adct wa game, movie na pombe thanks god nimeacha ila sasa internet na pesa yani nikikosa hata buku mfukoni ninakuwa na mawazo mpaka watu wana nishangaa
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Jan 5, 2018 #225 Addicted na pesa. Nisipo kuwa na pesa nakosa aman
b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,113 Jan 5, 2018 #226 Ganja, Gongo, mixer Girls.
Handsome Rob Senior Member Joined Jan 12, 2017 Posts 161 Reaction score 539 Jan 5, 2018 #227 Aisee novel na music hata nikiwa lecture room lazma nichomeke earphone moja sikion bila kusahau cha mmasai mdomoni
Aisee novel na music hata nikiwa lecture room lazma nichomeke earphone moja sikion bila kusahau cha mmasai mdomoni
yang JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 733 Reaction score 813 Jan 6, 2018 #228 Nipo addicted na nanii. Si unajua nanii inavyonanii haswa ukinanii. Yaani nashindwa kabisa kuacha. Siwezi kukaa bila kunanii kabisa.
Nipo addicted na nanii. Si unajua nanii inavyonanii haswa ukinanii. Yaani nashindwa kabisa kuacha. Siwezi kukaa bila kunanii kabisa.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,394 Reaction score 88,830 Jan 6, 2018 #229 Addicted na my bf.... B you're my addiction
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,475 Reaction score 33,039 Jan 6, 2018 #230 Addiction na JF,Instagram ubuyu,,,facebook,yaani nikivikosa hivi vitu nakuwa kama mtu ambae amekosa sigara,lol
Addiction na JF,Instagram ubuyu,,,facebook,yaani nikivikosa hivi vitu nakuwa kama mtu ambae amekosa sigara,lol
kingunge wa jf JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 466 Reaction score 457 Jan 6, 2018 #231 Niko addicted na wanawake weupe
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,094 Reaction score 16,452 Jan 6, 2018 #232 Mi Niko addicted na simu yangu, sababu internet. Nina mpango wa kumiliki ya kurunzi ili nipunguze hii addiction
Mi Niko addicted na simu yangu, sababu internet. Nina mpango wa kumiliki ya kurunzi ili nipunguze hii addiction
mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,061 Reaction score 4,847 Jan 6, 2018 #233 Du fb, jamiiforum, na youtube
F faraja mtasingwa Member Joined Sep 23, 2017 Posts 75 Reaction score 30 Jul 28, 2020 #234 Aisee sio mchezo Mimi addiction yangu ni kuchart sana ujumbe mfupi wa maneno huwa silalagi kabisa usiku kucha
Aisee sio mchezo Mimi addiction yangu ni kuchart sana ujumbe mfupi wa maneno huwa silalagi kabisa usiku kucha
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,646 Reaction score 8,736 Jul 29, 2020 #235 faraja mtasingwa said: Aisee sio mchezo Mimi addiction yangu ni kuchart sana ujumbe mfupi wa maneno huwa silalagi kabisa usiku kucha Click to expand... kazi unayo.
faraja mtasingwa said: Aisee sio mchezo Mimi addiction yangu ni kuchart sana ujumbe mfupi wa maneno huwa silalagi kabisa usiku kucha Click to expand... kazi unayo.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jul 29, 2020 #236 Niko addicted na kuwa mpweke, yaan napenda nikae peke angu all the time, Sitak kampan, marafik, etc.
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,588 Reaction score 10,944 Jul 30, 2020 #237 Eeee kwa Tuuyuuuuππππππππ
mtwa kinte Senior Member Joined Sep 2, 2015 Posts 144 Reaction score 260 Aug 2, 2020 #238 Addiction ya PlayStation (FIFA) bwana, raia znaingia crib ijumaa znatoka jumapili jioni