Natoka zangu arusha to singida ndani ya mtei express 2016. Ilikuwa jumatatu tunatoka kula krismas mzee, nimekula zangu krismas j2 usiku asubhu ya j3 nikaamkia kiporo cha pilau na kuku, kumbuka usiku nilikuwa sijashusha mzigo (divi) la j2. Sasa lika ji accumulate na j3,
Nikaenda zangu kupanda mtei, ile kufika minjingu mzee tumbo akaanza kusheki, kufika babati mambo yanazidi kujikoroga, kufika kateshi mida ya saa 11 jioni hivi, tumbo limechanganya baraa, naona aibu kusema tusimame,
Kufika njiapanda singida, nikawa nimetokwa jasho la maana, nikawa naachia ushuzi wa maana mpaka gari zima wakawa wana appreciate,
Kufika stend nikawa wa kwanza kushuka, nikatimua zangu toilet ( mida ya saa 2 usiku, kufika toilet nikakuta milango imefungwa, nikazama zangu kwenye kichaka cha fensi ya mtu, kabla sijavua nguo, mzigo ukashuka kwenye suruali, sasa kuondoka ndio shida, ikabidi nitembee zangu kilomita 5 hadi nyumbani, coz nguo inanuka divi ( uharo).